Recent content by napandanashuka

  1. N

    Utafiti: Wanachama wengi wa CHADEMA ni watu waliokata tamaa ya maisha

    Kwann ulilenga kufanyia wanachadema? Tupe Definition ya kukata tamaa uliyotumia mana kila mtu At One point in a time lazima akatae tamaa regardless of economic status
  2. N

    Kenya: Mzee azikwa akiwa ameketi

    Hata tz kabila la wabarbaig wazee mashuhuri huzikwa vivyo hicho;inaitwa bung'ed
  3. N

    Hakuna kitu kama Kabila Tanzania!

    Uliyoandika yote ni utumbo kama ktk uelewa wako unajua slaa ni Meru;hivi watz tukoje mtu unaandika kitu huelewi kwenye public forum?
  4. N

    Tangazo la kuuza nyumba za mfuko wa pspf

    52 mil siyo pesa ndogo hata kidogo,labda wafanyabiashara wakubwa na watumishi wa ngazi za juu,walimu wote wapo pspf but sidhan kama kuna atakayethubutu hapo hata university lecturer.
  5. N

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Ngoja wa kike waanze kumegwa na wazee,utaona wakiume watakavyochukia ccm na kurudisha kadi kwa kuliwa wapenzi/wake zao
  6. N

    Vita kati ya Malecela na Lowassa ni ya muda mrefu. Hii hapa ndiyo siri ya utajiri wa Lowassa

    Wapi hiyo mkuu,malecela hana tena nguvu za kisiasa kumzuia EL,atabakia kupiga kelele tu.Wananchi ndio tungeweza mdhibithi EL
  7. N

    Kwenu Kinana na Nape - Tuelezeni haya

    Wenyewe wamebebwa na mkulu,kinana ile biashara itakuwaje akiachia ngazi?Nape ataenda kufanya kazi gani nyingine apate angalau mlo wa siku?
  8. N

    TANESCO: Serikali inadaiwa zaidi ya 200bn

    Serikali ina inject bil 5 kila mwezi tanesco.
  9. N

    Mhudumu wa Mochuari "amchimba mkwara" waziri

    Dead bodies have the same value in mortuary....
  10. N

    Hivi ndivyo mfanyakazi wa Umma Chini CCM wanavyomaliza siku na week yao

    Duh,umesema ukweli wote mkuu,huwa najiuliza ipi ianze kwanza-tulipwe kwanza mshahara mzuri ndo tutafanya kazi kwa weledi au tufanye kazi kwa weledi kwanza ndio tulipwe mshahara mzuri? Najua shida kubwa ipo kwenye watumishi kukata tamaa mana kuna wachache ambao hufanya kazi kidogo lakini maisha...
  11. N

    Kesho, Jumatatu ni siku ya mapumziko Tanzania Bara na Zanzibar

    Mimi sina cha PH,duka langu huwa ipo wazi kila siku
  12. N

    Umeme umenishinda

    Wana JF,naomba tushauriane kuhusu hili suala la umeme,tokea bei imepanda ni siku ya 9 tu leo lakini mwenzenu umenishinda kabisa mpaka sasa nafikiria kurudi kwenye taa ya chemli au kibatari,kwa mahesabu ya haraka kama ntaendelea kuweka umeme naona mwisho wa mwezi 30% ya mapato yangu itaishia...
  13. N

    Wabunge na mawaziri wafunguka kuhusu dr. Mgimwa

    Bwana Lokissa,wachaga wanaingiaje hapo? kama kwako ni reference standard siyo kwa kila mtu,tz kuna >120 tribes na kila moja ina style yake ya maisha,usitake kulazimisha wanorway wafanane na wamarekani.......kila kabila on its own path inaendelea....i hate tribalism.
  14. N

    Jenerali Ulimwengu: I predict a constitutional crisis ahead!

    Generali has not concluded that there will be crisis,he is just predicting ........nashangaa cha ajabu ni nini hapo wakati in real life we use to predict issues according to circumstances. Mzee wa watu ameshika kalamu kaandika,tofauti na sisi wengi ambao hatuandiki makala.
  15. N

    Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Mimi nashauri hadhira yake hasa wanawake wachambue mchele na pumba katika hiki kipindi,otherwise wakati wa ku face consequences kila mwanamke ataumia kivyake usifikiri atakuja kuokoa ndoa yako,mwenyewe ana regretion
Back
Top Bottom