Jenerali Ulimwengu: I predict a constitutional crisis ahead!

Jenerali Ulimwengu: I predict a constitutional crisis ahead!

Ukimuondoa mwandishi wa makala Jenerali Ulimwengu na baadhi yetu wachache sana, Watanzania wengi wengine wapo wanaamini kitu ambacho hikijawahi kutokea katika historia ya siasa za dunia, nacho ni chama kilicho madarakani kwa 'mbinu' kukubali kuleta katiba mpya inayoweza kuleta haki na usawa. Kitu hiki ni kigumu!

Nakubakiana na wewe kuwa ccm kama chama watatumia kila mbinu kuhakikisha kuwa hoja yao ya serikali mbili ndio inayokubalika na bunge la katiba ; walishalipigia mahesabu toka kwenye sheria ya muundo wa bunge la katiba kwa kuwaruhusu wabunge na wawakilishi toka visiwani kuwemo kwenye hilo bunge ili kuhakikisha kuwa wanapata majority , halafu na hao wajumbe ambao Rais atawateua nina uhakika watachuja ili wale wanaoshabihiana na mawazo ya ccm ndio wengi wao Rais atawateua hivyo kuongeza nguvu za wana magamba!! Hilo liko wazi na UVCCm wamekwisha anza kulipigia kelele kwa kuuliza kuwa Warioba aliwakilisha mawazo ya nani mbona watu waliohojiwa ni percentage ndogo sana ya poulation ya Tanzania? As Jenerali has predicted , we are heading to a constitutional crisis with a lame duck presidency!!!
 
- Alikuwa Mkuu wa Wilaya wa CCM alifanya nini cha tofauti na wanaopinga sasa?, Alikuwa msaidizi wa Mkapa akiwa Rais alisaidia kubadilisha nini zaidi ya hawa anaowapinga sas? Baada ya CCM kumtema kwenye kamati yake ya kampeni za Urais wa pili wa Makapa ndio akabadilika na kuanza kuitukana CCM kwa maana ya kwamba wakimpa tena mlo atabadilika tena na kuanza kuisifia CCM kama alivyokuwa zamani,

- Kamati ya Usalama ya Bunge wakati wa Utawala wa Mkapa iliamua kwamba huyu sio Raia wa hapa na arudishwe kwao, lakini Mkapa akaweza urafiki wake na huyu mtu mbele zaidi na kukataa maamuzi ya kamati ya bunge na haya ndio matokeo yake, imagine mbongo aende Rwanda aandike article kama hii Kagame atamfanya nini?

- Katiba mpya inaandikwa na Wa-Tanzania wote sio kundi lako la Serikali Tatu tu, halafu kwa ujanja sana anajaribu kuamua kwamba Rais ajaye ni yule aliyekutana na maboda boda juzi kinondoni, kumbe ndio waliomlipa kuandika hii kitu huzuni sana hili taifa!! Ameanza siku nyingi kutabiri mabaya kwa Taifa na bado haachi tu pamoja na kwamba hayatokei, kaka rudi kwenu tuwachie Taifa letu sisi ni watu wa amani always no matter what we weill stay the same, nenda uwasaidie Chadema huko wanataka kuuana na hela za Rostam na Mkono, marafiki zako!!

Le Mutuz

Hayo mambo huyawezi afadhali ukazanie mashindano ta warembo labda utakuwa na hoja ya maana. Ana kweli mtoto wa nyoka ni nyoka tu.
Hao jamaa unaowashabikia ndio waliomtoa mdingi wako kwenye mbio za urais wakati ule.
Akili ya kuambiwa changanya kidogo na ya kwako.
 
Generali has not concluded that there will be crisis,he is just predicting ........nashangaa cha ajabu ni nini hapo wakati in real life we use to predict issues according to circumstances. Mzee wa watu ameshika kalamu kaandika,tofauti na sisi wengi ambao hatuandiki makala.
 
Labda na wewe huja muelewa,
Should we accept a constitution of which we do not agree just because of costs and time spent??
Logic ya Raisi Kikwete ni simple tu, tuwe na katiba ambayo contents zake wananchi wanakubaliana nazo!
Na kama wananchi hawakubaliani na contents hizo basi ni bora kuitumia katiba iliyopo kuliko kuipitisha tu katiba mpya ambayo wananchi haikubali, eti ipitishwe tu Kwasababu tumetumia gharama kubwa na muda wa kutosha.

Ndugu mbona unanilisha maneno? Na labda(tena ni hakika) wewe ndiyo hujanielewa kabisa mimi na Jenerali pia.

Wapi nimesema tukubaliane tu na katiba(tena sijui ipi maana katiba na rasimu ya katiba ni vitu viwili tofauti) ili tu kufidia muda na gharama tulizotumia? Embu weka hiyo nukuu hapa as you reply to this post.

Haya ndiyo maneno yangu,,,,"Ndiyo maana uliona akijikita kuwaonya wajumbe wa bunge la katiba kutanguliza maslahi ya taifa mbele ili tuwe na mustakabali mwema wa taifa jipya lenye maono na mwelekeo mpya."

Sasa wewe unakurupuka na hii kitu,,,Should we accept a constitution of which we do not agree just because of costs and time spent?? Nini usichoelewa hapo? Ni lugha ya kiswahili ama?

Na hayo maneno niliyo_bold hapo juu ni yako ama ni Rias Kikwete? Kama unamnukuu Kikwete nadhani basi mimi na wewe tuliwasikia Kikwete wawili tofauti. Je hukupata kusikia maneno nawaomba mtangulize maslahi ya taifa mbele na si makundi yenu? Tena aliwalenga moja kwa moja wajumbe wa bunge la katiba na si umma utakaoamua katika referendum. Embu tafakari halafu niambie alimaanisha nini.

Ndiyo maana nikasema hapo mwanzo, makala hii ya Jenerali ni deeper thought which requires a reader's digest. Kwa hakika naona huu ni mfupa kwako.
 
Jenerali ni mtu wa hoja anajibiwa kwa hoja sio mitazamo rambirambi utata
 
Ningeshangaa sana kama huyu generali Ulimwengu ambaye ana asili ya WanyaRwanda a-predict mema kwa Tanzania! Ameshika peni "Made in Rwanda" anapotumia kuandika alichoandika.

Katiba yoyote unapotengeneza iliyopo haifi hadi hiyo unayotengeneza mchakato wake unapokamilika ndicho Raisi alichomaanisha.Simple and clear.Kama wananchi au bunge halijaikubali hiyo Rasmu ina maana hiyo katiba mpya bado haijakamilika hivyo hiyo ya zamani inaendelea hadi hiyo mpya iwe tayari.

Mwandishi mzoefu kama yeye kushindwa kuelewa Raisi kasemaje ni aibu kwake na kwa taaluma yake.Au aliandika hii makala hii akiwa chakari bar manaake kwa pombe hajambo.

Ningekuwa na mamlaka, Wabaguzi kama wewe ni kuwakata vichwa tu.
 
Mkuu East African Eagle na genge lako,

Mheshimiwa Jenerali Ulimwengu anasema kwenye sehumu ifuatayo kwamba:

Take the proposed new constitution, for instance. No magical realism there. The chair of the constitutional review commission, Joseph Warioba, said the other day that the proposed three-tier government came from the views collected during the public hearing conducted by his team; he and his commission were not inventing anything new.

Still, certain people in his own party incline to the view that notwithstanding the views expressed by the public, Warioba should have been able to craft a proposal that rejected the idea of three governments within the Union.

I have failed to make head or tail of the arguments advanced by ruling party in this area, and I admit bafflement.

Anamaanisha kwamba CCM waliamini kwamba Warioba na wao (CCM) ndugu ziku zote sasa tena anaenda njia ipi kukubali mawazo ya serikal itatu na kuyatengenezea makabrasha kabisa?

Mgogoro utakuwa pale wananchi watakapouliza mawazo yao yameuzwa wapi maana wanategemea hoja ya serikali tatu itajadiliwa bungeni kwa MAADILI yote.

Sasa mgogoro utakolezwa na hoja yake anayosema kwamba:

So, when the constituent assembly is convened, I expect the ruling party, which will be in a sizeable majority, to shoot this proposal down. If this happens, it will open up a new Pandora's Box that may lead to an impasse and a possible constitutional crisis.

Hivyo ni kusoma tu between the lines.
 
Ningeshangaa sana kama huyu generali Ulimwengu ambaye ana asili ya WanyaRwanda a-predict mema kwa Tanzania! Ameshika peni "Made in Rwanda" anapotumia kuandika alichoandika.

Katiba yoyote unapotengeneza iliyopo haifi hadi hiyo unayotengeneza mchakato wake unapokamilika ndicho Raisi alichomaanisha.Simple and clear.Kama wananchi au bunge halijaikubali hiyo Rasmu ina maana hiyo katiba mpya bado haijakamilika hivyo hiyo ya zamani inaendelea hadi hiyo mpya iwe tayari.

Mwandishi mzoefu kama yeye kushindwa kuelewa Raisi kasemaje ni aibu kwake na kwa taaluma yake.Au aliandika hii makala hii akiwa chakari bar manaake kwa pombe hajambo.

Na ndiyo maana Mh. Rais alisisitiza kuwa vyama viondoe tofauti zao na kwamba suala la katiba si la kutafuta mshindi ni suala la utanzania kwanza na sio chama kwanza.

Rais wetu yuko sahihi kabisa, lakini haya ni maoni yake na kila mtu anaruhusiwa kutoa maoni so acha aseme kwa uelewa wake japo mimi ninasema kwa maoni yangu Rais hajakosea kitu na alikua sahihi kabisa kwa yote aliyosema.

Mungu ibariki Tanzania
 
I remember Jenerali Ulimwengu as back as 1970 and 1971 with his daily critical analytical articles entitled 'The way I see it'. The were in a government owned daily newspaper, can't exactly remember the name but it was something like 'Daily News or The Standard'. The articles were superb. By then he was a young handsome journalist boy. He used to put his picture before his article. Up to now he is still the same 'The way I see it'. Those who say he is not a Tanzanian citzen must have some medulla obulongata lesions. I salute you Jenerali.
 
Hayo mambo huyawezi afadhali ukazanie mashindano ta warembo labda utakuwa na hoja ya maana. Ana kweli mtoto wa nyoka ni nyoka tu.
Hao jamaa unaowashabikia ndio waliomtoa mdingi wako kwenye mbio za urais wakati ule.
Akili ya kuambiwa changanya kidogo na ya kwako.

- Ni afadhali ungenyamaza tu maana sio siri siasa huijui kaka, mwenyewe muhusika umeona amejibu hoja ya tatu zingine ameziacha tuliza boli haya mambo sio yako kaka!!

Le Mutuz
 
- Ni afadhali ungenyamaza tu maana sio siri siasa huijui kaka, mwenyewe muhusika umeona amejibu hoja ya tatu zingine ameziacha tuliza boli haya mambo sio yako kaka!!

Le Mutuz

Babako alibadili dini ili agombee urais.Mzee Jumanne a.k.a Malcela. Uwiii wagogo noumer
 
Itabidi Jakaya akae madarakani had 2018 wakati katiba mpya itakapokuwa tayari
 
- Alikuwa Mkuu wa Wilaya wa CCM alifanya nini cha tofauti na wanaopinga sasa?, Alikuwa msaidizi wa Mkapa akiwa Rais alisaidia kubadilisha nini zaidi ya hawa anaowapinga sas? Baada ya CCM kumtema kwenye kamati yake ya kampeni za Urais wa pili wa Makapa ndio akabadilika na kuanza kuitukana CCM kwa maana ya kwamba wakimpa tena mlo atabadilika tena na kuanza kuisifia CCM kama alivyokuwa zamani,

- Kamati ya Usalama ya Bunge wakati wa Utawala wa Mkapa iliamua kwamba huyu sio Raia wa hapa na arudishwe kwao, lakini Mkapa akaweza urafiki wake na huyu mtu mbele zaidi na kukataa maamuzi ya kamati ya bunge na haya ndio matokeo yake, imagine mbongo aende Rwanda aandike article kama hii Kagame atamfanya nini?

- Katiba mpya inaandikwa na Wa-Tanzania wote sio kundi lako la Serikali Tatu tu, halafu kwa ujanja sana anajaribu kuamua kwamba Rais ajaye ni yule aliyekutana na maboda boda juzi kinondoni, kumbe ndio waliomlipa kuandika hii kitu huzuni sana hili taifa!! Ameanza siku nyingi kutabiri mabaya kwa Taifa na bado haachi tu pamoja na kwamba hayatokei, kaka rudi kwenu tuwachie Taifa letu sisi ni watu wa amani always no matter what we weill stay the same, nenda uwasaidie Chadema huko wanataka kuuana na hela za Rostam na Mkono, marafiki zako!!

Le Mutuz

Willium
Mbona hujadili hoja badala yake unamjadili mtoa hoja?
Tanzactive
 
Back
Top Bottom