Recent content by Nanyori.Laisa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona Gereza la Segerea

    Wafungwa hawapelekwi Segerea kule ni mahabusu
  2. N

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank mmenikwamisha, mmenikera, mmenidhalilisha sana

    Ndugu yangu mpendwa Entim nilishuhudia ulivyodhalilika.....kwa kweli Kimei tunataka tamko benki ziendeshwe kisomi...kupotezea Wateja wenu muda na kuwadhillilisha inashusha hadhi ya taasisi hii nyeti ambayo inaongozwa na wasomi...bila Shaka ujumbe umewafikia wadau
  3. N

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank mmenikwamisha, mmenikera, mmenidhalilisha sana

    Mdau pole Sana....CRDB na benki zingine mjifunza kwa hili...hatutegemei kuona huo ujinga ujinga na uzembe unajirudia tena.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kufatilia mirathi, naanzaje

    Maelezo ya mdau hapo juu ni sawa ila ni mahakama ya mwanzo sio ya wilaya .Mirathi inafunguliawa mahakama ya wilaya kama kuna district delegates as per probate & adminstration act ila Practice inaonyesha karibu mirathi yote inafunguliwa mahakama ya mwanzo au mahakama kuu.Pia kufungua haitaji...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu mtoto wa Clouds Tv Kijakazi anajielewa kweli ?

    We we ndio hovyo@umla nasisitiza tunaipenda ukitaka jinyonge .Wivu ndio unakusumbua na upeo wako mdogo
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu mtoto wa Clouds Tv Kijakazi anajielewa kweli ?

    Umelazimishwa kuangalia? acheni chuki binafsi clouds wengi tunaipenda tuachie sie tunaopenda.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Wakue wewe kwanza@umla
  8. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Mnaomchukia ndio mnaopenda kucomment na bila shaka wrote Hi ukawa ndio maana mnamkandamiza,wapo watanzania wanaompenda na hawapendi kucomment kwahiyo huwezi Dema eti unafanya research! Ukweli jamaa anakubalika hata nyie ambao hampendagi kuona ajizungumzia machache mazuri yanayotendwa na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Aibu gani kwa kibonde MTU alikuwa kazini?? Watanzania ni watu waajabu.Hapoo juu nimemaaniaha possible yule pembeni ni Joti.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Possible,hilo ni tangazo lazima watu wanaojua kuvaa uhalisia ndio wanapewa mikataba kwenye matangazo kama haya maana wangependa jamii waelimike
  11. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    JF fanyeni research kabla hujapost,Kibonde walikuwa wanatengeneza tangazo la utii was sheria bila shuruti! On a sasa watu mmeanza kumhukumu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Jamhuri: Mbasha alibaka ndani ya gari

    Namaana we we ndio -------- sio mahakama@truth
  13. N

    JamiiForums Tanzania Jamhuri: Mbasha alibaka ndani ya gari

    Wewe ndio -------- sio mahakama,mbona unakuwa kama sio msomi bwana,hizo ni tuhuma ambayo mwisho wa siku hiyo mahakama itaamua km alibaka au la sasa we we utaitaje mahakama ya kipumbavu,tuache kukurupuka humu@ truth
  14. N

    JamiiForums Tanzania Jamhuri: Mbasha alibaka ndani ya gari

    Binti aliyebakwa sio Malaya ambaye mmeshawahi mpost humu!:half kuna wanaume akili zao ndogo sn, HV unawezaje justify ubakaji kisa mwanamke mzuri,basi huna tofauti na mbwa anayejisaidia popote.Think big
Back
Top Bottom