upo wa kutosha! ingawa hapa sio mahakamani lakini unaweza kwenda kjiridhisha mwenyewe kwa kuwahoji wanamwanga na viongozi wao walikuwa kwenye kikao hicho. na wala sio siri. Magamba tunajua ni magaidi kutoa roho za watu ni kama vile kuua mdudu chawa! Upo Mkuu
ndugu wadau
hayo yalibainika hivi karibuni kwenye kikao cha kamati ya Siasa ya CCM wilaya ya Mwanga na Ujumbe toka kamati ya Usalama na Maadili ya CCM makao makuu.
Kwamba siasa za makundi mawili hasimu ya Profesa Maghembe ambaye ni Waziri "Mzigo" wa Maji na Mbunge wa jimbo la...
Ndugu wana jamvi
baada ya Prof. kuchana risala ya wananchi, baada ya kwenda kuzindua choo cha matundu nane na hatimae kwenda kuzindua butcher siku ambayo Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Dr. Asharose Migiro akiwani Mgeni Rasmi kwenye shughuli za kiserikali wilayani Mwanga, Profesa kaingia tena...
wewe ni mtu wa ajabu sana (yaani wewe ni ile kitu iliyothibitishwa na mheshimiwa hakimu kule dom kwenye kesi ya Sugu na Pinda) Mtoa mada kam quote mwenyekiti vizuri kuwa Makao makuu wanajilimibikizia ruzuku wao peke yao! tunajua kabisa kuna mikoa ambayo ccm inajitegemea kulipa posho na...
hapo umenena Mkuu! Hayawezi kutunga single nyingine ya kutusambaratisha tena yameshaishiwa ndo maana yamejifungia Dodoma siku nne kubuni mkakati mfu mwingine
kufa wewe bwana alah! lichama lako linatunyonya hadi damu we unatuletea mambo ya vifo vya ulaya! Vifo vya ulaya na Tembo wetu mnavuna kipi bora! au katiba yetu mnaotaka kuhujumu
we jela umetoka sangapi si tumesikia umefungwa aka 7 mung'anda kwa wizi wa sementi mifuko miwili na bati 1 BTW CCM ndo wanawatumia mabalozi ndivyo sivyo! nyie ndo mnawatumia kwa masilahi yenu sio maslahi mapana ya wananchi na mnawatumia kipindi kile tu cha uchaguzi
Nina mashaka huyo MH diwani ndio huyo huyo Simiyu Yetu embu angalieni post zote za Simiyu yetu huwa zinaandikwaga kike kike yaani kimipasho zaidi REST IN JAIL SIMIYU YETU
Hapo! shughuli ipo! cjui nisuse kulipa kodi!!! maana hapo ufujaji wa kodi jumlisha 10% tarajali kwani huo mradi wa kujenga reli tenda yake ishatangazwa kwa mujibu wa sheria?
Hapa kwetu kuna "Mradi Mkubwa wa Maji kutoka Nyumba ya Mungu hadi Mkomazi" pesa zinatoka BADEA ambapo wachangiaji walikuwa ni serikali ya Libya na Syria" Hembu niambieni unatekelezeka huo?
express as a GT unaona kweli Zitto ana hoja ya Msingi? Mi naamini kuwa bunge linaingilia mambo ya serikali pale tu ambapo itaonekana kuwa kuna uzembe mkubwa kama ilivyokuwa kwa RICHMOND, JAIRO nk. bunge linapaswa kuchukua kwanza taarifa kwa CAG kama CAG atawaambia hakupata ushirikiano huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.