Ni miezi minne sasa hatuna chakula,hatuna malazi,ni baada ya wenye nyumba kuchukua vyumba vyao kwa kukosa kodi zao.hatuna ada hivyo uhakika wa kuendelea na chuo ni mdogo sana na hivi tupo mwaka wa tatu.inasikitisha kuona tunasoma miaka miwili tukitambulika kama wanufaika wa body ya mkopo,ila...
Mm napata wakati mgumu kidogo kuelewa,imekua ni muendelezo wa matukio mbali mbali ya kikatili yakifanyika na idara ya usalama ikiusishwa.
Hivi karibun gazeti la mwanahalisi limetoa habari ya kuwashutumu idara hii kuhusika na kipigo cha kikatili kwa mwenye kiti jumuia ya madaktari tanzania dr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.