Recent content by namtombe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hawa wahindi wachina wacuba mail moja vipi?

    Haaaa itakuwa vizuri hawa wahindi wanakaa apaikunda hotel manjinjio ya zaman wakija watawaona na boxar kibao kitaa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wachina nani anawapa kiburi hivi?

    ile barabara ya kutoka msoga pale pia katengeneza mchina wanaitwa China henang chiko tayari ishaanza banduka aisee haaaaaaaaaaaaaa
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wachina nani anawapa kiburi hivi?

    Haaaa imeua aisee
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hawa wahindi wachina wacuba mail moja vipi?

    Hivi mail moja kuna immigration kweli? Hili ni jibu la kudumu kwa mail moja kuna wahind kama mia 2 hivi wanazurura balaa na kuchukua wake za watu APA mail moja ukiingia contena bar pale utaamini pia kuna wachina wa kutosha na hawa wacuba wapo apa kiwanda feki cha mazalia ya mbu mbona kiwanda...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wachina nani anawapa kiburi hivi?

    Kuna mradi wa east Africa toka arusha mpaka Nairobi kwa Tanzania ilijenga hii kampuni ya cgc na jangs zote za China toka arusha namanga ebu pita iyo barabara uone ni mashimo ni nyembamba kama uchochoro imevimba na ni asfat lami ya moto ambayo ni garama sana sasa ingia upande wa namanga adi...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wachina nani anawapa kiburi hivi?

    Umenena mkuu barabara za mchina hazidumu mfano Barabara ya chalinze melela ilifanyiwa marekebisho rehabilitation mwaka 2002 na kampuni ya Denmark ya arself na ncc na chalinze hadi mpakan ilifanyiwa marekebisho mwaka 2009 na kampun ya china geo cgc ila itembelee leo inabanduka na viraka vya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wachina nani anawapa kiburi hivi?

    Unawaza mbali kwel ushawaza ngono tayari uchagan si tusi kabisaa ndo maana kuna ukoo unaitwa mboro
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wachina nani anawapa kiburi hivi?

    Si kweli mbona ni jina la kawaida
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wachina nani anawapa kiburi hivi?

    Shicha mbee
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wachina nani anawapa kiburi hivi?

    Kuna hizi kampuni za kichina hapa Tanzania ni nyingi sana kwenye ujenzi wa nyumba pia barabara hivi ni nani anawapa kiburi hivi, maana ukifuatilia kwenye ujenzi wa barabara hawa jamaa hawaajiri kabisa pia wanalipua sana kwenye earthwork ni wabovu sana barabara zao nyingi ni mbovu mfano Chalinze...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Star Tv mnaboa

    Toka lin kina ngosha wakajua kuwa smart mkuu iga mfano kwa mkuu wa nchi
  12. N

    JamiiForums Tanzania Aibu ujenzi wa Sakina - Tengeru highway

    Ina kiwango? Au ni ile lipua lipua za kichina?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Aibu ujenzi wa Sakina - Tengeru highway

    Hujui ukiongeacho mkuu hizi kaz tuachie ss wakandaras huyo mkorea kampa subcontractor mchina walikua wanajenga daraja la maragaras kigoma kule uyo ni mbabaishaji balaa hamna mkandaras apo pia n mnyanyasaj wa wawafakaz balaa
  14. N

    JamiiForums Tanzania Aibu ujenzi wa Sakina - Tengeru highway

    Acha ziuzwe mkuu maana hujui wanalipwa sh NGp wafanyakaz wa tzd na mikataba hawana yaan ukifanya kaz kwa mchina usimwonee huruma piga kidumu nondo cement ili ujilipe hawa wachina wana dharau mikataba hawatoi mshahara mdogo sefty hawatoi ni kuwaibia tuu maana Hamna namna sasa
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kimarangu ni wazuri aisee

    Nimekuwa nikifuatilia sifa uzuri urembo kati ya wamachame warombo na wamarangu ila kiukwel wanawake wa kimarangu ni warembo wazuri kitabia pia kiutafutaji ila tatizo wanajisikia sana na dharau nyingi tafadhal badilikeni
Back
Top Bottom