Wadau nashukuru sana kwa ushauri wenu, nimepata kitu, nafikilia kuongeza 3M ili nipate gari nzuri zaidi, ukizingatia kwa sasa fedha yetu iko chini dhidi ya dola, nikiwa na 12M nadhani itani wezesha kuta gari nzuri zaidi, kuhusu kununua hapa tz sikirii kabsa, kuna mzee wangu fulan alinunua gari...