Recent content by Namour

  1. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    oooh acc ninayo labda kama nijisajiri kwa promo code yao au nisajili acc nyingine🤔
  2. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    msaada wataalamu hizi code za wanaijeria 1xbet zinagoma mbona au nayo kama ya sportybet hadi ubadili nchi 1xbet nabadilishaje
  3. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera share na sisi mkuu au nipatie link nimfate😐
  4. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    iko poa tu jisajiri unatoa na kuweka kwa namba uliyosajiria tupe na sisi hayo madini na sisi tumnyanyase.
  5. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Funguka kaka sijaelewa hiyo70 namlipa au ndo stake yangu maana ushasema bureee,kwani hizo fixed huwezi hamishia kwenye app zetu za kibongo
  6. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante sana you are the real tip master
  7. N

    Series (Special thread)

    Dah!asante sana umeniongezea material nizishushe leoleo🤗
  8. N

    Series (Special thread)

    Ina maana wenzangu wa Soap opera na drama za marekani hakuna 🤓 zangu SINGLE LADIES THE HAVES AND THE HAVE NOT IF LOVINGBYOU WAS WRONG SISTAS SCANDAL STRIKE BACK THE WOMAN OF THE SOUTH(ya kimexico ndo tamu) POWER
  9. N

    Ujue Mti chonganishi

    A is eee niliipata audio ya huu mti ni mti dume unafukuza wanaume ndani na unaleta mabalaa ndani ya nyumba mf madeni,magonjwa,vifo nk ,mi ninao wa mwenyenyumba hapa nawaza ntamwambiaje aelewe au niuwekee mafuta ya taa unyauke aseme tu situnzi nyumba take, maana madeni yananinyoosha walai
  10. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Twende kazi na in play maana Jana nimelala vibaya hadi kichwa chauma nimegusagusa single bet bado napita kushoto,twende kaz kiongoz
  11. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ninechelewa kukufata ngosha nasubir zingine
Back
Top Bottom