Recent content by name of names

  1. name of names

    Vituko vya binti wa kazi toka Tanga

    Mpaka hapo hujaona kati yako nayeye bos nani? Nakushauri mrudishe kwao lisijekupata jambo kubwa ambalo hutakaa usahau. Kwa watu wa rohoni inaonekana ana cheo kukuzidi.
  2. name of names

    Je ni usafi au air pollution?

    Wadau salaam. Nimeona tu nitoe mtizamo wangu juu ya zoezi la usafi linaloendelea hapa nchini. Rais wetu mpendwa Dr. John P. Magufuli amefanya jambo la maana sana kwamba siku hii ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika tutumie kwa kufanya usafi wa mazingira yetu. Hofu yangu ni watu waliowengi...
  3. name of names

    Siku ya UHURU wa Tanzania bara (9/12): Yaliyojiri maeneo mbalimbali kuhusu kufanya usafi

    Niko maeneo ya barabara ya tegeta bunju. Moshi mzito wa kuchoma takataka limetanda kila kona. nachelea tusije tukadhani tunafanya usafi kumbe tunafanya airpolution
  4. name of names

    Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, ajiuzulu Uongozi ndani ya CCM

    Mie naona ni sawa tu. Unajua kuna wanamabadiliko wengi wako ndani ya CCM kwa lengo maalum. Naona na huyo alikuwa mmoja wao.
  5. name of names

    Ujio wa TB. Joshua kwa mualiko wa CCM una maana gani?

    Nimjuavyo Prophet Tb Joshua siyo wa kihivyo.
  6. name of names

    Mgombea wa CCM na alama ya mwenge

    Kuna madai keamba mwenge ulianzia ugiriki zamani sana na ilitumika kutukuza miungu ya kigiriki. Mfano mwenge wa olympic. Kuna wqkati ulipitia china, likatokea tetemeko lililoua watu zaidi ya elfu hamsini. Hapa bongo wanasema eneo linapolala mwenge mambo ya ajabu hufanyika ukiwamo uzinzi
  7. name of names

    Tume ya uchaguzi NEC imeuza taarifa za wapiga kura kwa mgombea wa CCM!

    Na mimi nimepokea sms ya huyo Kipi nikawa nashangaa amepata wapi namba yangu na anajuaje kwamba naishi jimbo la kawe?
  8. name of names

    Kwanini Papa ana ulinzi mkubwa namna hii?

    Kwanini mahekalu ya obada huwekwa uzio na milabgo, tena vitasa vya ukweli. Nikuulize je Mungu anashindwa kutoa ulinzi? Kushangaa kiongozi wa dini kuwa na ulinzi ni sawa nakushangaa nyumba ya ibada kuwa na mlango au uzio.
  9. name of names

    Utafiti wa Synovate: Magufuli aongoza kwa 62%. Yabainika watanzania bado wana imani na CCM

    !3/728_!83!7"9 Mabadiliko yako palepale ari yetu iko juu kwaajili ya mabadiliko
  10. name of names

    Lowassa aingiza Waisrael kutoa mafunzo ya Kijeshi, Apson Mwang'onda ndiye anadaiwa kuratibu

    Kama ni kwaajili ya kumlinda, kwani kuna shida gabi? Halafu umesema vijana wanatoka arusha na manyara lakini majina yaliyoandikwa hapo juu siyo ya ki kaskazini. Majina ya kikaskazini yanajulikana kama mafie, kaaya, mollel, tollway, masha, mosha, nk. Labbda mkatunge tena upya hiyo propaganda yenu.
  11. name of names

    Kwako kuna kura ngapi za Lowassa na UKAWA?

    Nina kura 10 kwa lowasa na ukawa
  12. name of names

    Kutoka viwanja vya Barafu Dodoma kampeni za Urais kupitia UKAWA

    Kura yangu kwa Lowasa. Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Lowasa
  13. name of names

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  14. name of names

    RATIBA ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA na mgombea mwenza

    Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo atutangulie, aondoe vikwazo vyote, na abatilishe hila za watesi wetu hata tufikie ukombozi kamili october 25. Kwa jina la Yesu kristo AMEN. PEEEEEEEPOOOOOOOOS POWEEEEEER
Back
Top Bottom