Recent content by name 97

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mna uchungu sana na vijana wasiotaka kuoa

    Usijifunze kwa walioshindwa,jifunze kwa walioshinda
  2. N

    JamiiForums Tanzania Laana, Mizimu, Roho, Vifungo na Madhabahu katika koo na jinsi vinavyowatesa wengi kimaisha

    Kuna jambo moja tu kuhusu hivi vitu,ni ngumu kumuelekeza mtu akaelewa,ni hadi yakukute..ni kama hivi tu umelekezwa na haujaelewa Nikuambie tu kitu kimoja mkuu,kama kila kitu kwenye maisha yako kinaenda sawa,thank GOD.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Afungwa miaka 30 kwa kosa la kuingilia kinyume na maumbile

    alikuwa amekata tamaa ya maisha Ukishakuwa na majukumu au malengo flani kwenye maisha,kuna baadhi vitu hauwezi hata kuvifikiria achalia mbali kuvitenda
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina changamoto ya hasira kali mno!

    Mkuu inaoneka una na experience na hili,na upo sahihi kabisa na hili ni tatizo la wengi..
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kumwambia ex girlfriend wangu kwamba asinitafute maisha yake yote yaliyobaki?

    Uko kama mimi sitaki hata salamu,
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

    01. Punguza matarajio and let things flow naturally. 02.umuhimu ambao tunajipa kwenye hii dunia,hatuna huo umuhimu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nimepoteza uwezo wa kujiamini

    Nimepitia mambo mengi sana ya ajabu-changamoto nyingi sana Ni kijana mdogo tu miaka 27 lakini niliyopitia yanatisha. Kwa sasa naona kabisa nimepoteza uwezo wa kujiamini,nashindwa kuisimamia misimamo yangu Kila kitu naona kama kinafeli kabla hakijaanza. Nashindwa kusimamia kile...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    Najua unachozungumzia..wengi wanaobisha sio walimu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Jitahidi sana mwanao asiwe na tabia hizi?

    Shida sio kulia, Analia kwa style ipi? Ukimwambia nyamaza ananyamaza?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Jitahidi sana mwanao asiwe na tabia hizi?

    Namba 8 ni dalili ya kiburi.. Mtoto ukimuadhibu anapaswa kuomba msamaha,akimaanisha kuwa anajutia alichofanya. Kulia zaidi maana yake anaonesha kuwa alochofanya ni sahihi na kuadhibiwa ni kuwa anaonewa
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuishinda nguvu ya mauti uliposalitiwa na mpenzi wako

    Jambo la kwanza,kubali hali kuwa tayari imeshatokea na huwezi kubadili hilo. Jambo la pili, badili na boresha mienendo ya maisha yako..kula vizuri,vaa vizuri,lala sehemu nzuri,kimsingi jipende. Jambo la tatu,tafuta sababu ya kuishi.kuna mdau amedokeza hapo juu..kuna watu wengi wapo nyuma yako...
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuishinda nguvu ya mauti uliposalitiwa na mpenzi wako

    Ulipitia shida gani ukawa katika hali hiyo?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mungu nihurumie mimi mkosefu

    Mkuu A couple of days ago nilikuwa katika situation ngumu kidogo..na nilileteta uzi hapa..sasa sijui mods waliwaza nini wakafuta.. Lakini,MUNGU alinivusha katika namna ya kushangaza sana. Put your trust on him,He will make a way
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usaliti ni Jeraha: Nimesafiri kurudi Mwanamke ameondoka na kahamisha vitu vyote

    Daaah ndugu labda baadhi
  15. N

    JamiiForums Tanzania Whatsapp status

    Duuh sawa mkuu nimekupata
Back
Top Bottom