Recent content by namdu

  1. namdu

    JamiiForums Tanzania Jifunze lugha za kigeni ndani ya JF

    Tuanze na kingereza maana....
  2. namdu

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni jamani

    Napenda sana kupika chapati lkn haziwi laini nifanyeje ziwe laini??
  3. namdu

    JamiiForums Tanzania Majanga

    Leo nimemshangaa jamaa mmoja tukiwa kwenye dalalada la ubungo gongo la mboto kavua shati la rangi ya kijani kwa madai kwamba anaogopa kupigwa na wapinzani wa ccm kwakuwa kavaa rangi ya kijani kila mtu kamshangaa kwenye gari yaani haikuniingia akilini tena ni kijana wa maana tu akashuka buguruni...
  4. namdu

    JamiiForums Tanzania Furaha itokanayo na Kupendwa! The greatest of all.

    Ni kweli mkubwa
  5. namdu

    JamiiForums Tanzania Linah: Napenda Kuvaa Vimini na Mipasuo ili Upaja wangu Uonekane Vizuri

    Mmmh napita jamani
  6. namdu

    JamiiForums Tanzania Linah: Napenda Kuvaa Vimini na Mipasuo ili Upaja wangu Uonekane Vizuri

    Hamna upako hata robo
  7. namdu

    JamiiForums Tanzania Swali la msingi jamani!

    Kila mtu ana sababu zake ktk kupenda.
Back
Top Bottom