Recent content by nambierwa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tuambiane kuhusu biashara ya Car Wash

    Habari wakuu naombeni msaada wa namna ya kuanzisha car wash , faida yake ukiajiri kijana unalipaje au ukikodisha awe analaza shingapi kwa siku, pia changamoto zake.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mh. Magufuli na Team yote ya CCM WAITEKA Mbeya

    Huo ni uongo usiseme mbeya sema kyla ndo ma ccm...... ila tunduma na mbeya mjini alikuwa anapita watu wanaimba lowasa ndo rais na ishara ya vidole viwil hapo ndo unasema wanamkubali?????? Hatudanganyiki ng'oooooooo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

    Kutokusoma kwake hotuba kwa muda mrefu ni kutokana na muda ambayo hawakutaka izid sa 12:00. Hivyo akasema kutokana na ufinyu wa muda atagusia vitu vichache lakin watu wasivyokuwa waelewa wanasema kisa ni mgonjwa... THINK TWICE
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete na Waziri Magufuli Katika Mazishi ya diwani wa kata ya yombo, bagamoyo

    Yaan maguful hajulikal so anatumia chance za mikisanyiko ya watu ili watu wamuone na waone wako karibu na rais
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Ualimu wa Hesabu

    Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu natafuta kaz ya ualimu wa hesabu.nina bachelor degree of mathematics.....mikoa ni kilmanjaro arusha au dar Kwa mikoa mingine kuwe kuna malazi kutoka shule husika
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

    Hahahaha
Back
Top Bottom