Mh. Magufuli na Team yote ya CCM WAITEKA Mbeya

Mh. Magufuli na Team yote ya CCM WAITEKA Mbeya

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
MBEYA SASA WASEMA KURA ZAO KWENDA CCM BAADA YA KUSIKIA SERA ZA MH. MAGUFULI



11951108_801808909937102_3610256780422809092_n.png

Mh. Magufuli akimwaga sera kwa wananchi wa Mbeya

11781703_801808903270436_1114391211593789323_n.png

Wananchi wa Mbeya wakimsikiliza Mh. Magufuli kwa makini

11903764_801808929937100_2070696625692023260_n.png

Shamrashamra uwanjani

11947640_801809219937071_3659336163031223479_n.png

Wana Mbeya wasema sasa UKAWA bai bai

11952051_801809053270421_6756581989056542012_n.png

Mbeya

11951853_801809076603752_4526353356664795286_n.png

Mh. Mwakyembe

11220827_801809103270416_6451174542669277517_n.png


11953137_801809209937072_918893856829403201_n.png


Mh. Maguli na Team yote ya CCM WAITEKA Mbeya


 
Nadhani mahaba yamekunoga maana karibu forum nzima post zote ni wewe tu.
 
Usisahau kuwa ukawa walikuwa hawajaanza, sasa mtaenda sawa kwa picha
 
Ukawa mtanyoka tu,na huyo mtu wenu wa dakika 10
 
Umekosea ungeandika " Diamond Platinumz akisindikizwa na Magufuli aiteka Mbeya"
 
Huo ni uongo usiseme mbeya sema kyla ndo ma ccm...... ila tunduma na mbeya mjini alikuwa anapita watu wanaimba lowasa ndo rais na ishara ya vidole viwil hapo ndo unasema wanamkubali??????
Hatudanganyiki ng'oooooooo
 
Huo ni uongo usiseme mbeya sema kyla ndo ma ccm...... ila tunduma na mbeya mjini alikuwa anapita watu wanaimba lowasa ndo rais na ishara ya vidole viwil hapo ndo unasema wanamkubali??????
Hatudanganyiki ng'oooooooo

Kwisha Habari yako.

#HapaKaziTu
 
Back
Top Bottom