Capri point kiwanja pekee tena unakuta miamba ya mawe tu kinasimama kuanzia 1b, hapo hujaweka gharama ya kung'oa au kupa kilipua hiyo miamba ya mawe kisha ndo uanze process ya kunjenga
ndo maana nikasema Arusha inabebwa na taasisi binafs kama hao KKKT pamoja na serkali tofauti na Mwanza inayojibeba yenyewe paspo nguvu kubwa ya taasisi hizo kiujumla. Au unataka jibu gani labda
sasa KKKT c ndo mojawapo kati ya taasisi binafsi zinazojenga Arusha, pia HQ za EAC kuwa c ndo upendeleo wa serikali, kwann wacngeweka Mwanza ambayo iko vizuri zaidi kijiografia ktk kufikika kwa nchi zote za EAC.
hivi hivyo vyote unavovikataa kuwa havijachangia kukua kwa Arusha kama vicngekuwepo hapo Arusha pangekuwaje leo, halafu pia HQ za KKTT sio mandeleo, KKTT c ndo wanajenga mahospital makubwa kama Seriani, hivi HQ za EAC kuwa hapo sio maendeleo, HQ za ICC kuwa hapo kwa EA bado unakataa sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.