Recent content by Naligia Mninoi

  1. Naligia Mninoi

    Kipi bora kati ya Subwoofer na kuwa na DVD Hometheater

    Ukichagua DVD home theater maana yake wewe hutosikia bass kamwe na ukichagua subwoofer maana yake Katu hutosikia CHOCHOTE 🥴🥴 ni mafundi tu watakao nielewa🤣
  2. Naligia Mninoi

    Ni aina ipi ya sub woofer ni nzuri?

    Subwoofer yenye bass kubwa niile inayokokotoa Hz kuanzia 20 Hadi 250 Hz na zenye RMS watts kuanzia 400 , tafuta pioneer, JBL, JL , Kenwood, Skar, za ukubwa wa inch12 au 15 tafuta booster nzuri kazi kwako. Izo mnazoziita subwoofer ni redio, subwoofer ni kitambulisho Cha aina ya spika...
  3. Naligia Mninoi

    Ni aina ipi ya sub woofer ni nzuri?

    Swali lako lipo jumla Sana(general question) ijapokuwa wengi wamekibu swali lako kwa mlengo mmoja. Neno subwoofer ni KIASHIRIA Cha aina ya speaker inayo fikia kiwango Cha sauti Yani herts(Hz) kuanzia 15 Hadi 250. Hii huitwa bass speaker Yani spika ya sauti ya chini(lower frequence) Sasa HIZI...
  4. Naligia Mninoi

    Tengeneza muziki mzito kwa kununua vifuatavyo

    Hiyo Ni nzuri tu kwa kuunganisha Active Subwoofer Yani Ile inbuilt subwoofer(spika yenye booster yake ktk box) Ila Kama unaunga Passive Subwoofer itategemea Amp yako ni mono au ni 4channel. Nb. Peruzi google andika how to connect car Amp to the receiver , utapata ufafanuzi mzuri
  5. Naligia Mninoi

    Tengeneza muziki mzito kwa kununua vifuatavyo

    Dah sory nimejibu swali tofauti nilijua unauliza ununue spika za ukubwa gani , Ila kwakuwa niliandika kwa kina sijafuta jibu kwa faida ya mtu mwenye swali Kama nilivyohisi, sory Ok swali lako kuhusu power supply ununue ukubwa gani kwakweli Huwa sijui zaidi mm nilinunua transformer fundi...
  6. Naligia Mninoi

    Tengeneza muziki mzito kwa kununua vifuatavyo

    Nunua spika utakalo mm nashauli tafuta spika ya watts 400 RMS yenye p. M. P O Yan max watts 1400 ya NCHI 12 Yani ukubwa, Dukani zipo za pioneer, JBL, kwa Bongo japo zipo kampuni nyingi Ila kwa Sasa hizo ndio zipo sokoni kwa Bongo , nunua hasa pioneer , Kisha tafuta booster itakayo drive, Kama...
  7. Naligia Mninoi

    Tengeneza muziki mzito kwa kununua vifuatavyo

    Ukiona kimya humu basi nicheki fb kwa jina Naligia Mninoi, siweki namba kwa sababu maalumu , kule fb Nina darasa kuhusu Ukiroho na watu huitaji Namba zangu ambao humu pia wapo , so ukija fb NITAFUTE kwa yeyote anaetaka ushauri tusaidizane wale music lovers✌️profile ni Kama hiyo picha utanitambua
  8. Naligia Mninoi

    Tengeneza muziki mzito kwa kununua vifuatavyo

    Kuhusu booster ya Gari utakachofanya utanunua power supply ya computer ukienda mjini hasa kariakoo zinauzwa ama nenda kwa fundi utanunua transformer inayotoa 12-13.8 v Yani kubadili umeme wa AC to DC hii inaifanya booster kupokea current za kutosha kusukuma spika ya bass ya gari maana zinanguvu...
  9. Naligia Mninoi

    Tengeneza muziki mzito kwa kununua vifuatavyo

    Utakachokifanya Kama head units yako(receiver) ina audio out put kule nyuma utatumia kuunganisha na hiyo booster ya gari na Kama Haina out put utakachokifanya Kama una booster TU na umenunua booster kusukuma subwoofer maana yake utachukua waya utaunganisha ktk spika za nyuma(rare speaker) kwenda...
  10. Naligia Mninoi

    Tengeneza muziki mzito kwa kununua vifuatavyo

    Upo sahihi mtoa post , mm nilinunua radio nyingi nikawa sipati nikitakacho KUMBUKA redio za maana nizile za kijapan ENZI za mkapa za CD Ila sio sikuhizi. Sasa nilichokifanya nilinunua subwoofer speaker mbili za gari pioneer TS-W309D4 watts RMS ni 400 kila moja Kisha nikafunga ktk box moja kubwa...
  11. Naligia Mninoi

    Kwa wale wanaopenda muziki kwenye gari, tukutane hapa

    Hapo shida ni UBORA ama ukweli, unaweza kukuta iyo 2500w ni P. M. P. O watts wakati RMS watts ikiwa ni 400 ,Sasa iyo professional Kama oppra unakuta iyo ni real watts Yani 1000 rms
  12. Naligia Mninoi

    Kwa wale wanaopenda muziki kwenye gari, tukutane hapa

    Kwa ushauri wangu Passive speaker ni nzuri zaidi(spika isiyo na amplifier ndani) hii inakupa uhuru wa kuunda Mziki uutakao mfano unapokuwa na amplifier ya nje inayojitegemea tambua iyo Amp inakuwa na channel mfano channel 1,2,3 Hadi 4 Sasa hapo upo HURU kuongeza Spika ama kubadili mfumo wa spika...
  13. Naligia Mninoi

    bajeti ya music wa gari

    Linapokuja suala la kusikiliza music system aisee tusidanganyane hakuna kuhitaji Mziki mdogo sijui wakatikati labda Kama unalenga upande wa sauti(volume) lakini suala la Mziki ni mtambuka Yani hakuna asiependa kusikia sound nzuri (deep bass, quality sorrounding n k) hivyo msikilizaji anatamani...
  14. Naligia Mninoi

    Hivi CR7 Ronaldo ni Mzungu au Metis?

    Yule ni CAUCASIAN Yani mzungu pure, japokuwa watu hawajui asili ya neno mzungu. Mzungu ni kifupi Cha WAZUNGUKAJI tuliowaita kipindi Ngozi nyeupe Kama wahindi, waarabu na hao WEUPE kutoka bala la ulaya wote tuliwaita Wazungukaji, Ila baadae miaka ya 1890's Ngozi nyeupe ya ulaya (CAUCASIUN)...
Back
Top Bottom