Recent content by Naledi

  1. Naledi

    Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani?

    ATCL kama wameamua kufanya biashara ya kubeba abiria na mizigo wafanye kibiashara,inawezekana hasara inatokana pia na safari wanazofanya viongozi humu nchini na pia wanapotoka kwenda nje je huwa zinalipiwa?
  2. Naledi

    Ni lini Spika Job Ndugai atajibu tuhuma za yeye na Wabunge kuhongwa Pesa na serikali ya Magufuli ili kupitisha miswada mibovu ya sheria kandamizi?

    Hawezi kutoka mwenyewe na kujibu tuhumabila kushurutishwa humu ktika majukwaa ya mitandao ya kijamii huku ndipo dola yetu wakereketwa ilipo
  3. Naledi

    Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?

    Au tumpatie Zitto Kabwe kwa wiki moja tu urais, sipati picha atakavyopiga dili za madini
  4. Naledi

    Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?

    Mimi nafikiri wanajaribu kuvuta muda tu kuitekeleza hyo ibara ya 37(3) ili hata kama anaumwa aweze pata nafuu, halafu katika hiyo ibara haijasema ktk kipindi ani akiumwa aweza kupewa mtu mwingine madaraka sasa ni wiki ya pili au tatu hajaonekana labda tusubiri zaidi atatokea
  5. Naledi

    Ni hasara kubwa kama Taifa kuvikosa vichwa hivi bungeni...

    Nafikiri bunge lijalo litakuwa nibunge la Yes man hakuna hoja itakaletwa bila kupita,nahisi kushuhudia upitishwaji wa sheria za kipuuzi haijapata kutokea.Huu ni mpango wamungu tu au ni figisu za uchaguzi kuwaondoa wapinzani waongeaji wakubwa buneni.
  6. Naledi

    Je, tunaweza kujenga Tanzania ya viwanda bila kutegemea mabeberu? Ukaribu beberu na 'next door' ni fimbo au biashara tu?

    Hili neno la mabeberu linapaswa kukemewa sana siyo sahihi kuwaita wale mabeberu hao hao mnekwenda kuomba wawape pesa za kununua dawa,kujenga stilers gauge na mambo mengine mengi tu.Kwa hiyo wao watuite sisi Ömba Omba"??
  7. Naledi

    MO na Halima Mdee, patachimbika Jimbo la Kawe!

    Hapawezi chimbika hata kidogo inaeleweka nani ni mshindi tayari, mshindi ni MO Dewjiiiii
  8. Naledi

    Kwanini Zitto alitumia nembo ya Bunge kuandika barua binafsi kwa Benki ya Dunia? Kwangu mimi huko ni kuhalalisha 'kushughulikiwa' na Bunge

    Kutumia nembo ya bunge siyo issue kwani yeye bado ni mbunge pia nafikiri alitaka kuipa uzito hiyo barua.
  9. Naledi

    Ushauri kwa Sumaye - Anzisha chama cha siasa kipya

    Apumzike tu huyu mzee ni janga la kitaifa,wenzie wote wamejitambua wapo tu kama observers,kwani vijana wanasiasa wamekwisha mpaka yeye tuuuuu miaka yote
  10. Naledi

    Kauli ya kuonja sumu kwa ulimi ni zaidi ya udikteta

    hello kama mliweza kumpa lowassa dhamana kubwa nchini ya kugombeea Uraisi kwa tiketi ya CDM na alikuwa na miezi tu kwa nn sumaye asipewe nafasi ya kuwa mwenyekiti baada ya miaka minne
  11. Naledi

    Zitto Kabwe: Niko mbioni kuanza mazungumzo na Jumuiya za Kimataifa ili kupambana na utawala wa Rais Magufuli

    Ni sawa lakini andaa huo mwili kupasuliwa mara 23,na risasi kama 30 mwilini kila mtu na bahati yake na kusudio lamunu kwa mtu mwenzio bado mungu alikuwa na kusudio nae wewe Allah bado ana kusudio na wewe ???
  12. Naledi

    Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    Unampenda zaidi makonda kwa kuwa ni msukusu mwenzio?? Hafai kuwa Raisi wa nchi labda waziri mkuu
  13. Naledi

    Viwanda 4,000 anavyovisema Rais Magufuli Vimejengwa Wapi?

    Jamani tuongee ukweli,viwanda 4000 si mchezo!! nafikiri kuna umuhimu wa ku classify hivi viwanda maana tutakuja ambiwa mtu akiwa fundi seremala mradi ana machine ya kupasua mbao ni kiwanda
  14. Naledi

    Kwanini Spika Ndugai huwa hakagui miradi ya Serikali katika ziara kama wafanyavyo Rais Magufuli na PM Majaliwa?

    Nafikiri hilo ni jukumu la kamati husika na wajumbe wake
Back
Top Bottom