Recent content by nalaila godwin

  1. nalaila godwin

    Ushauri namna ya kupata Schengen Visa

    Ahsante sana Kwa ushauri mzuri
  2. nalaila godwin

    Ushauri namna ya kupata Schengen Visa

    Habarini ndugu, Ninaomba msaada wa mawazo, Nina mchumba anatokea Spain, ninaishi nae Tanzania takribani mwaka sasa. Tumepanga kwenda kwao Spain mwezi wa 6, lakini kwenye vigezo vya kupata visa vingi sina mfano ajira ya kudumu, pesa ya kutosha kwenye bank account yangu nifanyeje naomba...
  3. nalaila godwin

    I WANT TO APPLY SCHENGEN VISA

    Ahsante Kwa ushauri wako kaka, ninaishi nae kabisa hapa bongo, so it means kwenye form tujaze taarifa zake true kama mfano bank statement? Pia nikiwaambia sina kazi Bado inakuaje hapo ?
  4. nalaila godwin

    I WANT TO APPLY SCHENGEN VISA

    Habari wana if, ninaomba ushauri wenu, ninataka kusafiri mwezi June mwaka juu 2019 kwenda Spain kuonana na familia ya mchumba wangu ambae ni mspain .Katika vigezo vya kupata visa nimeona kuna vigezo cha kazi lakini kazi Bado sina kiukweli Je nifanyeje ili wasiamin kwamba nataka kuzamia ktafuta...
  5. nalaila godwin

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    mkuu nipo arusha nina wazo la kuagiza dagaa kutoka hiko kuleta huku kwa ajili ya kuuza namba yangu hii 0652130833 tunawezakuwasiliana tuyajenge
  6. nalaila godwin

    Natafuta mtumbwi kwa ajili ya biashara ya canoeing

    Habari wanajamvi, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu natafuta mtumbwi
  7. nalaila godwin

    Nataka kuongeza urefu wa mwili, nina miaka 22

    Jamani nataka kuchoma sindano ya kuongeza urefu wa mwili au kama kuna dawa yoyote ya kurefusha mwili nisaidieni wadau jamani
Back
Top Bottom