nalaila godwin
Member
- May 11, 2016
- 8
- 0
Jamani nataka kuchoma sindano ya kuongeza urefu wa mwili au kama kuna dawa yoyote ya kurefusha mwili nisaidieni wadau jamani
Hadi hapo Nalaila Godwin atakua hahitaji tena kuwa mrefu. Mshukuru mungu kwa kila jambo, kuna watu hawana miguu wala mikono ila hakuna kitu wanachoshindwa kufanya na mungu anawapa furaha kila iitwapo leo. Kuna mchungaji mmoja anaitwa Vick kama sikosei ukiangalia video zake kama ni mlemavu unaweza kulearn vitu vingi.Kuna limb lengthening surgery.
Wanakata kwa kati mifupa ya miguu ya chini. Wanakuwekea chuma unakaa nayo miezi. Mifupa ikiunga, unarudi unakatwa ya paja. Unakaa tena miezi na chuma.
Utakaa na machuma kama miezi Tisa hivi na kuna kazi ya kuzisafisha kila siku.
Utarefuka maximum 10cm kwa mifupa ya chini na maximum 10cm mifupa ya paja. Jumla 20cm.
Itakucost kama 22million kwa operation tu, tena kwa mifupa ya chini pekee.
Goodluck.
Simple answer. Well said.Vaa mchuchumio
Wewe bongo profeshno ni noumer!Tafuta Daktari mtaalamu wa glands akorokochoe pituitary gland yako especially ile part inayocontrol growth.. Ukifika urefu desired anakorokochoa tena uache kukua..
Madawa ya siku hizi yanahamia kwenye busta....pata picha kidume unakua zaidi ya churaaaa...Jamani nataka kuchoma sindano ya kuongeza urefu wa mwili au kama kuna dawa yoyote ya kurefusha mwili nisaidieni wadau jamani
Haaaaaaaaahaaaaaa ulijiskiaje?Hahaha my ex used to say.
Yaani wewe kwa huo ufupi sijui nilikupendea nini. Hapo natakiwa kulivuta pazia halafu nimechechemea ila bado.
Halafu yeye ndiyo mrefu kweli.
Ilikua ndiyo utani wake kwangu tukiwa sirias hajawahi kuniita kijeba
Haaaaaaaaahaaaaaa safi sana ndio raha ya mapenzi mi mwenzio naitwa andunje hku!Ilikua ndiyo utani wake kwangu tukiwa sirias hajawahi kuniita kijeba