Recent content by nakwede semvua

  1. nakwede semvua

    Taswira ya Nchi (Tanzania) ni Inatisha Kwa Sasa

    Njoo iringa upigwe na baridi akili ichangamke kidogo
  2. nakwede semvua

    Taswira ya Nchi (Tanzania) ni Inatisha Kwa Sasa

    Nchi ina amani sana huku mikoan tuko shwar life goes on labda huko dar kwa watafuta kiki maana huko watu wanajiona wanajua sana
  3. nakwede semvua

    Swali kwa akina Sisters

    Mda huo labda anafikiria jambo lingine tofaut na hilo au anamfikiria mwanaume mwungine
  4. nakwede semvua

    Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

    Umeongea vizur sana kama nilivikua nafikiria vijana sikuhizi hatujui kupambanua mambo
  5. nakwede semvua

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Habar zenu naomba mwenye uwelewa na mbegu za vitunguu na mikoa inayouza mbegu nzuri ya vitunguu maji. Asanten
Back
Top Bottom