Recent content by nakwa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nihifadhi wapi pesa zangu ndani ya mwaka mmoja?

    Jf haichishi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tusiopenda kusoma makala ndefu na tunapenda kujifunza na kufahamu zaidi tukutane hapa

    Kwa yote haya jf sitoki ng'ooo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Pale Wajinga Wanaposhindwa Kutofautisha 'Ujinga' na 'Uongo'

    Akili kubwa umeeleza vizuri
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wanasheria nisaidieni, Baba Mzazi anazidi kuuza mali

    Ana hiari kukupa urithi. 42 yrs kakuvumilia sana.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Usimuonee huruma Mwanamke

    Inatisha
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaendelea kuthibitisha kwamba si nchi usalama, Tajiri wa kizungu auliwa kinyama

    Hivi kila kinachotokea kenya ni lazima tulinganisha tz. Tusichokozane bana sisi dugu moja.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

    Kwani ulilikosea kanisa? Anayeombwa msamaha ni yule aliyekosewa. Kama hilo ndilo sharti kwangu hiyo ndoano naichomoa dripu
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NGUVU YA TANZANIA NA KUITAWALA EA KIMAWAZO

    Nimecheka mpaka
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuchanganyikiwa msaada please

    Pole sana ndugu, kweli kuna changamoto kubwa sana kazi kwa miaka hii.kuna jamaa nmfamu ni graduate anafanya kazi za ulinzi. Ambayo kwa kwa graduate ni kwamba amefanya maamuzi magumu. Kwa nyakati hizi kabla hujafanya lolote ni lazima kuangalia jamii iliyokuzunguka inahitaji nini, ukaweza ku solve...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mabenki hayarudishi pesa wanazokata kama " Bima ya mkopo pindi deni la mhusika linapoisha

    Benki pekee inayorudisha bima wakati ukimaliza mkopo ni Standard charterd. Wiki iliyopita nilitoa maoni yangu kwa bank nyingine kwamba walifikirie jambo hilo.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wakenya ndiyo Waafrika wenye roho nzuri kuliko wote kwa mujibu wa Utafiti

    kwani hujui.mbona unaijua unataka sisi tukusadie aka.!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu KKKT lamtenga Askofu Malasusa

    Umesema ukweli ndg
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA inachangisha hela ya matibabu ya Lissu?

    Wewe nyamaza kama hutaki kuchanga,kwa nini useme sijui kina lowasa wawaite Rafiki zao wachache wachange.wale watu waliojaa Dodoma General hospital jana waliitwa nani, au walikuwa viongozi wa chdm?Watu tuna mapenzi na Tundu Lisu kibali cha kupenfwa MTU hutolewa na Mungu.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Jifunzeni kuwa na picha kubwa za ukutani, zitusaidie kukutambua siku ya msiba wako

    Hiyo ni kweli kabisa,alhamisi iliyopita tulipata shida kupata picha ya marehemu,ikabidi tuchague picha ifanyiwe mambo kwenye computer ndiyo angalau tukapata sura yake.nilijifunza kitu.
Back
Top Bottom