Recent content by Nakukunda

  1. Nakukunda

    Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Mcheulishe kila akila anaponyonya Akimaliza kuogeshwa mfanyie massage tumboni na mafuta ya nazi uliyopekecha mikono ili iwe ya moto then unamkanda kanda tumbo. Mama yake asile vyakula vya gesi aongeze kula matango na matikiti , chakula anachokula mama ndo mtoto ananyonya kama kina acid nyingi...
  2. Nakukunda

    Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

    Ndugu yangu unaongea usichofahamu Naomba niishie hapo
  3. Nakukunda

    Tyson Ndunguru rafiki yake MC Joel wa (Tyzee SwahiliHood) aliyedaiwa amepotea apatikana

    Dunia imeharibika sana, unaweza kuta ni mwanaume ila pia ni mjane wa pili wa marehemu,
  4. Nakukunda

    Sikumuomba, aliniruhusu nilale na mkewe ila ghafla kawa adui yangu

    Atakuwa nae alikuwa anashikwa matackle wakati kamuinamisha mke wa mwenzie
  5. Nakukunda

    Je, ni sahihi kutoa sadaka ili kumfurahisha Mungu?

    Hakuna ibada inayokamilika bila sadaka, na hata wanaoamini ushirikina wanatoa sadaka ngumu sana kuliko ambazo tunamtolea Mungu wa kweli aliye hai na sadaka na ibada kati ya Mtu na Mungu wake.
  6. Nakukunda

    Kifo cha mwanafunzi Nusura; VC wa UDOM Kusiluka unadanganya kwa faida gani?

    We mpuuzi acha kumtukana Rais wa Nchi yetu, kilaza ni wewe usiye jua Lugha ya staha.
  7. Nakukunda

    Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

    Mungu alipoumba mwanadamu au malaika aliweka utashi na uhuru wa kuchagua, jiulize kuhusu tunda la kujua mema na mabaya kwa nini aliliumba maana uwezo wa kutoliumba alikuwa nao na angeweza kufanya hivyo kama angeliamua. Lakini liliwekwa kama kipimo cha utii ambayo ndo ibada anayotaka kwetu...
  8. Nakukunda

    Wanaume wa nigeria wanavitu special

    Watakuhamisha kizazi shauri yako
  9. Nakukunda

    Kaibiwa na Dada poa sasa anaanza upya

    I wonder why mchumba alimwacha akaolewa, akili za jamaa hazina akili
  10. Nakukunda

    Natafuta mume

    Nichukue mimi mkuu, i am ex Muhas ila sihitaji jobless
  11. Nakukunda

    Majaliwa aondolewe Jeshi la Zimamoto na arudishe zawadi zote alizopewa

    Jamani Dogo alitamka wazi kuwa mhudumu na abiria walikuwa wanapambana kufungua mlango ila pressure ya maji nje ilikuwa kubwa na hivyo akawasaidia kufungua kwa kuvuta na kasia huku ndani nao wakiwa wanapambana na wakafanikiwa. Na kingine kitendo cha yeye kupambana mpk kuhatarisha maisha yake bado...
  12. Nakukunda

    Kilimo cha Zabibu kwa mkoa wa Dodoma

    Ahsante sana kwa andiko lako. Naomba utueleze gharama za kulima hiyo heka moja ya zabibu hadi kuvuna kwa Dodoma ni Tsh ngapi?
  13. Nakukunda

    MOSHI: Mahakama yaelezwa mtoto anayedaiwa kubakwa na Padri alienda kuungama

    Padri inawezekana kweli kabaka kwa maana ya kutembea na mtoto wa miaka 12 ila nachelea kusema huyo mtoto ni mzoefu tena sana maana angekuwa bikra asingeweza kuhimili maumivu na asingekuwa flexible kwa hizo style za huyo padri mpumbavu
Back
Top Bottom