picha hilo....na hiyo bajeti wanayosoma wataitoa wapi kama akimfukuza huyo balozi? hili picha natabiri litaishia kwa serikali ya tz kumuomba msamaha balozi mzungu na serikali yake...2subiri 2one
ha ha ha hii bank kwisha habari yake....naichukia sana hii bamk kuna cku nlikua nalipa ada ya chuo asee c nikakosea kidogo 2 yule teller badala ya kunambia nikarekebishe akanikata elfu tano yangu! From that day ctaki hata kuisikia hiyo bank
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.