Hazistahili hizo sifa unazozifia wewe kwakuzidisha chumvi.
Nimequote kwakujumuisha nyuzi zako nyingine zingine pia.
Wadanganye wengine wasiozitumia,ila kwa ambao tulishatumia aina zote za hiyo kampuni huwezi kutudanganya kiivyo
Kwasababu unatia chumvi nyingi mno na mahaba kuzidi kanakwamba wengine hatuzijui hizo simu,unavyoisifia hiyo MIUI wakati tunaijua haina hayo maajabu unayoyasifia!
Kusema ukweli sidhani kama utaikuta duka lolote ikiuzwa hii.adimu mno labda uagize nje mwenyewe au ukubaliane na dealers wa honda pale kkoo wakuagizie mkipatana.
Niliiona alibaba wanauza 2.5m ila sina uzoefu wakuagizia.
Wakuu nina redmi note 3 yangu nataka niifufue.inakua kama ina mawenge flani hivi kioo chake na touch pia inazingua pemben mwa kioo.
Sijui kuagiza online,nani tuelewane aniagizie online touch na betri.nmeona vinauzwa bei za $3-9.
Ila nataka vifike haraka zaidi,siwez subiria wiki nyingi ntakosa...
Ni wazi kua pikipiki imara ni za Mjapan.
Sasa basi kwa bajeti yako nakushauri usifanye makosa tafuta pikipiki ya mjapan na unaweza kuongezea pesa kidogo ila usiogope maana unanunua mkataba haswa.
Tafuta pikipiki hizi,kwa matumizi yako binafsi na vimizigo vya hapa na pale:
1. Honda CGL 125
2...
Tafuta pikipiki hizi,kwa matumizi yako binafsi na vimizigo vya hapa na pale:
1.Honda CGL 125
2.Honda CG 125
3.Honda Ace cb 125(ila hizi nadhani ni za south africa kama sikosei)
Machaguo ya kwanza ndo mjapan mwenyewe na zote zina starter.
Nina Honda CG 125 huu mwaka wa 8 sasa kitu piru bado,nna...
Majina muhimu mkuu.kuna wengine hizi ngoma pia tunazo,tunaweza kujikuta tunazipakua mara mbili mbili bila mpango.
Kuhusu jamaa kujitolea si tatizo mbona kuna nyuzi hata sisi tunatupia ngoma fair kabisa wala si swala lakulipana humu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.