Recent content by naka

  1. N

    Maamuzi ya ZEC ni sawa na maamuzi ya Bodi ya shule.

    Kwa mjibu wa sheria naelewa kuwa mwananafunzi anapofanya kosa shuleni mwenyekiti wa bodi ya shule peke yake hana mamlaka ya kumfukuza shuleni mwanafunzi huyo hadi maamuzi yapitishwe na kikao halali cha bodi ya shule vilevile mwenyekiti wa tume ya uchaguzi peke yake zec hana mamlaka ya kusitisha...
  2. N

    Njia Panda; Kataa ya Jecha CCM out SMZ, Kubali ya Jecha Uchaguzi Rais JMT Unakosa Uhalali Unarudiwa

    Mimi cjawahi kuona mwenyekiti wa BODI YA SHULE anachukua maamuzi ya kumtimua mwanafunzi shuleni peke yake bila kamati ya bodi ya shule kukaa kikao na kuwa na maamuzi ya pamoja!!
  3. N

    Aibu kwa TBC1 na Taifa kiujumla

    jamaa nakushauri mapema kama ni kujificha uanze kutafuta mapango ya kujificha mapema maanake lazima WAKUDAKE walisema ni kosa la jinai kupga picha kuonyesha nani umempigia pole sana.
  4. N

    Marekani wanamkubali Dr. Magufuli, cheki picha hii

    Picha ya kutengeneza PhotoShop nakuomba uongezee na ya PAPA, Mahatma GHANDHI ARISTOTLE, FIDELI CASTRO,ADOLF HITTLER MUSSOLIN YESU n.k utaeleweka zaidi
  5. N

    Zingatia haya ili KURA yako ISIHARIBIKE.

    Kura yako isizidi nje ya kisanduku cha kupigia kura..usipige kura zaidi ya mgombea mmoja..usiandike maneno mengine zaidi ya kuweka tick au vema tu..usiandike namba yako ya simu..usichore kitu chochote kwenye karatasi ya kupigia kura. Cha mhimu ni wewe weka tick tu kwa mgombea unayemtaka kura...
  6. N

    Ukawa zuia bao la mkono

    Mimi sioni tatizo hapo acheni wafunge kampeni zao hiyohiyo tarehe 24 kwani wakifunga tarhe CCM watawasikilza afu keshi yake watanunua airtym Tv zote na kazi yao kubwa itakuwa kujibu hoja za ukawa pia MEDIA COVERAGE TRHE 25 ITAKUWA WAO TU.waongeaji wapo wengi tu Kingunge, Tambwe myika, Lema...
  7. N

    Ziara ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa mkoa wa Mara (Serengeti,Tarime)

    Teh teh teh ngoja waje CCM kitengo maalum cha Propaganda Utaskia hiyo siyo Serengeti ni MAANDAMANO YA MISRI AU LIBYA TEH TEH TEH wakiona hizi picha wanahisi kuharisha.
  8. N

    UKAWA kuweni makini na wageni wanaokuja majimboni wakijifanya ni makamanda wahamasishaji wa Lowassa

    Ushauri wa huyu jamaaa sio wa kupuuzwa mtu asiyefahamika siyo wa kuamini wala kualikwa kwenye vikao vya ndani kwani kwa sasa inawezekana kabisa mamlyki wengi kutoka upande wa pili wanasambazwa kufanya kazi maalum na tarehe 22,23 na siku ya kuamkia uchaguzi tarehe 24 vjana wengi sana hasa zile...
  9. N

    Mama Samia afunika kwa kampeni zake Ilemela na Nyamagana Mkoani Mwanza

    Mkutano wenyewe unazidiwa na MKUTANO WA WENJE mimi niliona Magari mengi yameandikwa STK kuliko watu nikajiulza jk yupo mwanza jamaa mmoja kaniambia Suluhu gupo mwza teh teh teh fisiemu Kwisha polen sna magamba
  10. N

    Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    Acha upuuzi wewe upo live wapi mda mfupi uliopita numetoka kusoma post yako ukisema Upo na kinana ukerewe SEMA UKWELI UPO MASAKI CHUMBANI NA UKIENDELEA KUPOST UJINGA WAKO NITAKUUMBUA HUMU COZ I KNOW U.
  11. N

    Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    Nilijua tu lazima amsifie mgombea wa ccm kwani wao ndio wamempunguzia adhanu ya kula mihogo ukitaka kujua alivyo wa ajabu huyo huyo mla mihogo ndio alimutimua zitto chadema kwa kumuita msaliti eti leo hii anajikombakomba kwake na kumsifia poor & big shame to u dr....
  12. N

    Vodacom wapandisha bei ya vifurushi

    In Tanzania everything is possible mgeni anaruhusiwa kuja kufungua kampuni yake na kujipangia bei yake atakayo yeye bila kujali kipato halisi cha wananchi na huwezi kusikia mamlaka husika ikimunyooshea kidole..
  13. N

    Vodacom wapandisha bei ya vifurushi

    sikatai jamaa lakini naomba uniambie mwenye mamlaka ya kusimamia makampuni binafsi ya simu yupo? kama yupo ni nani? je kazi kazi yake ya kusimamia huduma kwa wateja amesbundwa? in Tanzania everythng is possible think twice bro,
  14. N

    Vodacom wapandisha bei ya vifurushi

    Kampuni ya simu vodacom kuanzia kesho tarehe 8 itabadili tena gharama ya vifurushi vya internet vya wiki 2000=30 MB 2800=60 MB na kifurushi cha siku 1000 itanakia kuwa Mb 8 kazi kwenu mnaokesha mitandaoni VODACOM WAMEJIPANGA. Chanzo voda taarifa
Back
Top Bottom