Kwa mjibu wa sheria naelewa kuwa mwananafunzi anapofanya kosa shuleni mwenyekiti wa bodi ya shule peke yake hana mamlaka ya kumfukuza shuleni mwanafunzi huyo hadi maamuzi yapitishwe na kikao halali cha bodi ya shule vilevile mwenyekiti wa tume ya uchaguzi peke yake zec hana mamlaka ya kusitisha wala kufuta uchaguzi hadi kamati ya uchaguzi ikae na kupisha maamuzi hivyo kilichitokea Zanzibar ni ukiukwaji wa kanuni na sheria za uchaguzi.