Recent content by naisweet

  1. naisweet

    Ajali mbaya Kibada, Kigamboni: Watu 7 wafariki dunia

    Sio watu saba ni sita na niwarabu na ni ndugu zetu tumeshazika leo mtoto mmoja bdo yuko spital na baba ake na wte wngne wamefariki inahuzunisha kwa kweli
  2. naisweet

    Lishe kwa mtoto - Unampikia nini mtoto wako (miezi 6-12)

    Farkhina upoo doh long time unanikumbuka dear
  3. naisweet

    Zebra cake

    thnx swrty nzuri sana cake
  4. naisweet

    Uchomaji wa Maandazi

    maandazi mazuri sana yanavutia mm nakua nakandia siag pia yanakua mazuri
  5. naisweet

    Badia za dengu na chatne

    unantoa mate shost mana mambo hayo nnavoyapenda kwa pilpil hapo oohooo
  6. naisweet

    Biscut za jam

    sio kma siijuilii ila haikubal mm natumia galaxy 2 nkienda kwny rply nkibonyeza.camera nkichagua pht nki click tu haitok picha sasa sijui vipi kua nakosea kwasababu kuna siku nshawah kutuma pht bt nimepiga nakutuma na imekubali sijawah kutoa kwny callery na kutuma lbda simu yangu mbovu jamani
  7. naisweet

    Biscut za jam

    nshajarbu vyte haikubali sijui nifanyeje
  8. naisweet

    Biscut za jam

    haikubali mpenzi.nishafanya natumia simu inakuja empty paper sijui kwann na unga mm nakisia tu kawaida sina vipimo ww eka ukiona imeshikana na inafanyika duara bas ujue tayar
  9. naisweet

    Biscut za jam

    yeah unaweza mpenz halafu utaeka jam unaweza kueka hata njugu ulizo ziparaza
  10. naisweet

    Biscut za jam

    najaribu kusend photo lakin haikubal sijui kwann mwenye ujuz anifahamishe zaid
  11. naisweet

    Biscut za jam

    BLUE BAND ROBO VIINI VYA MAYAI VITATU BAKIN POWDER VIJIKO 2, ROBO SUKARI UNGA UTAKISIA VANILA AU JUICE YA MACHUNGWA NAMNA YAKUFANYA Utachukua siag yako utachanganya na sukari utasaga ikiwa tayar imesagika utaeka mayai yako pamoja na vanila au juice upendavyo halafu utaeka...
  12. naisweet

    Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

    mikate mizur dr ntajarbu kuifanya inshallah shukran
  13. naisweet

    Sugar paste for cakes

    bora umwambie kma umepata mda gani umeandika hawajaweza kukupa ushauri anakuja sasa hvi na kusema maneno tu hajui anachokisema naona sasa nimuelekeza vipi kwny youtb nawakat mtu unaserch tu kma ww ulikua unajua zaid.kwann hukuja mapema.kuelekeza
  14. naisweet

    Sugar paste for cakes

    bora umwambie kma umepata mda gani umeandika hawajaweza kukupa ushauri anakuja sasa hvi na kusema maneno ya kejeli sasa nimuelekeza vipi kwny youtb nawakat mtu unaserch tu kma ww ulikua unajua zaid.kwann hukuja mapema.kuelekeza
  15. naisweet

    Naomben mnisaidie tatizo langu nateseka

    asanten kwa ushaur wenu Mungu akubarikin mm ni mwanamke nina umbri 24 nataka kwenda spital lkn huku nilipo tabu ndio nasubr nirud mana hata lugha hawajui wanaongea french yaan hapa nawaza sitaman uje usiku ukija tu nakosa raha nalia siku nyngne
Back
Top Bottom