Recent content by Nairart

  1. Nairart

    Natafuta Gynecologist mzuri Mbeya

    Sawa. Asante kwa ushauri [emoji120]
  2. Nairart

    Natafuta Gynecologist mzuri Mbeya

    Habari zenu wakuu. Yeyote anaejua daktari wa magonjwa ya kina mama MBEYA na anapopatikana naomba msaada wa maelekezo. Nisaidieni mwenzenu, mwaka wa 3 kwenye ndoa nahangaika tu. Sijabahatika kupata mtoto.
  3. Nairart

    Naomba kujuzwa Endocrinologist mzuri Tanzania

    Habari wakuu. Kwa yeyote ambae anajua wapi naweza kupata endocrinologist mzuri, yani daktari aliebobea katika mambo ya glands na hormone, naomba anielekeze. Asanteni.
  4. Nairart

    Tatizo la kuzidi kiwango cha homoni ya Prolactin

    Bora umejijua nashukuru kwa hilo. Piece of advice kama unaona someone's story is phony why shouldn't you ignore it. Is it necessary uingize negativity zako kwenye story usiyoielewa. Umepata faida gani? . As for me kwenye story yangu ambayo wewe huielewi nimepata ushauri kwa watu wanaojielewa...
  5. Nairart

    Tatizo la kuzidi kiwango cha homoni ya Prolactin

    [emoji23] Wanasema inaleta na kichefuchefu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Nairart

    Tatizo la kuzidi kiwango cha homoni ya Prolactin

    Ngumbaru or layman, whatever you call yourself. This post isn't for you, kwanza hujui hata prolactin ni nini why ucomment? And i don't have to explain myself to you kama nimeenda hospital or not. You clearly don't even know JF Doctor wameiongeza kwenye hii forum kwasababu gani. So weird jinsi...
  7. Nairart

    Tatizo la kuzidi kiwango cha homoni ya Prolactin

    Kwani ni lazima kila kitu ucomment. Vitu vingine kama hujui ni bora unyamaze, prolactin ni neno gumu KWAKOO. So kwasababu kuna hospital, JF Doctor ifutwe km ndo hivyo maana haina faida. Sometimes watu wanauliza kupata different professional advice. Usidhani kila mtu hajui kama wewe kijana...
  8. Nairart

    Tatizo la kuzidi kiwango cha homoni ya Prolactin

    Thank you Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Nairart

    Tatizo la kuzidi kiwango cha homoni ya Prolactin

    Habari wa kuu, Nimepima kipimo cha homoni. Imejulikana nina tatizo la ongezeko la homoni ya Prolactin, ipo 150ng/dl. Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatzo, aina ya diet inayofaa na dawa nzuri kutibu. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Nairart

    Traditional Chinese Medicine Dar (hospitali inayotoa huduma ya dawa asili za kichina?

    Habari wakuu. Kuna yeyote anajua wapi naweza kupata huduma ya clinic ya wachina Dar es salaam. Anaefahamu please naomba aniambie mahali ilipo. Asanteni
  11. Nairart

    Kusomesha shule za ada kubwa na kawaida nini faida

    Kwahiyo mtt akijua kugombania daladala na kugombania chakula ndo nini. Kwa akili hizi za sisi watanzania Mungu atusaidie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. Nairart

    Kusomesha shule za ada kubwa na kawaida nini faida

    Kwanza kabisa kaa ukijua million 5 kwa watu wengine ni km ww unavyoiona 5000. Kuna watu wanapata 20million mpka 50 million per month, unataka ampeleke mwanae kayumba for what? Nd tofauti zenu ni lifestyle, mwenzio hajasoma kwa stress. Ni kama kucompare mbwa wa kizungu wa kylie jenner marekani na...
  13. Nairart

    Hospital ya Cardinal Rugambwa Ukonga ina gynecologist?

    Habari wakuu. Je hospital ya Cardinal Rugambwa ina daktari wa magonjwa ya wanawake. And je wanakubali bima ya NHIF?
  14. Nairart

    Madhara ya dawa ya kuzuia mimba P2

    Madhara yapo tena makubwa bt inategemea na mwili wa mtu, huwa inasababisha overbleeding, amenorrhea (kutopata hedhi) na kubwa zaidi ni hormonal imbalance. Sishauri mtu atumie.
Back
Top Bottom