Recent content by Naipenda Jamiiforums

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa JF mna shida gani?

    Chizi Msomi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

    1 Umri ni namba tu 2 Kutongozwa sio kuvunjiwa heshima nani Kakudanganya? 3 Unashangaa kutongozwa mtu akupende Halafu akae kimya? 4 ACHA USHAMBA WEWE
  3. N

    JamiiForums Tanzania Huu picha ina maana kubwa sana kiroho, ama kweli hela ngumu

    Kama mna uhakika sawa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulishawahi kudhulumiwa maishani mwako na kinakuuma mpaka leo hii?

    Tuliwahi kufanya kazi ya kufreka poli msomela wakat wahamishwaji wa ngorongoro kuja msomera wanagawiwa eka mbili mbili tukaelewana na yule jamaa kutoka ngolo tufyeke kwa raki 2 tukatia tim na mdogo wangu kwenye ile laki tumepewa 50k tu akatuambia ondokeni bila ivyo nawasingizia mmeniibia DAH...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ni ipi tofauti ya masikini na fukara?

    KAMA UNA UHAKIKA SAWA...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni ipi tofauti ya masikini na fukara?

    Fukara na maskini ni tofauti sana!! Ni ipi tofauti? Kwanza fukara hana pesa wala chakula na haelewi atakula nini.., hata kazi hana chakula labda akaombe kwa jirani kwa kifupi fukara ana hali ngumu Ni yupi maskini? maskini Anaweza kua hana pesa ila ana akiba ndani hata chakula mwezi hata...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kifo Ni Udanganyifu? Nishati

    KAKA
Back
Top Bottom