Recent content by naina19

  1. naina19

    Natafuta mpenzi mtu mzima

    Frank Wanjiru kwanini maneno yote hayo kwa mwenzio🙄🙄🙄 All the best jason Mungu akupe hitaji la moyo wako
  2. naina19

    JamiiForums Usiku wa manane

    0000 Jana na leo
  3. naina19

    Hivi flaviana si aliolewaga jamani, iliishaje?

    Kwanini unasema hivyo mkuu
  4. naina19

    JamiiForums Usiku wa manane

    🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
  5. naina19

    Mtoto wa kiume usipende kuazima sana magar ya wanaume wenzio

    Utakua umenisaidia sana, wacha nikafate kesho mapemaa
  6. naina19

    Kauli za wanawake ambazo zimetukera sana sisi Wanaume

    Nipe namba yake nimtumie ka ujumbe kakumfurahisha hahaha
  7. naina19

    Mtoto wa kiume usipende kuazima sana magar ya wanaume wenzio

    Unajitetea nisije kuazima ee Wa kiume tuu ndio hawatakiwi kuazima sio sisi
  8. naina19

    Mtoto wa kiume usipende kuazima sana magar ya wanaume wenzio

    Watoto wa kiume wamekuskia NAPOLEON ila sasa wale wa kike usiwanyime wakija kuazima
  9. naina19

    Kauli za wanawake ambazo zimetukera sana sisi Wanaume

    Mwanamke anaeuliza hili swali ana shida. Vinginevyo awe alishatambulishwa mke mwenzie rasmi
  10. naina19

    JamiiForums Usiku wa manane

    0119
  11. naina19

    Lazima tukubaliane Mungu aliwaumba kusudi, ila maana yao ni kuzaa tu tunacho kifanya ni kucimplicate

    Mkuu godimpare haya maisha yapo kama yalivyo hakuna kitu cha kudumu. Usijiwekee masharti sana au mipaka sababu hata hicho unachokiamini sasa ipo siku kitabadilika. Pole kwa uliyopitia yakakufanya uwe ulivyo Mungu unaemwamini akujalie furaha na amani
Back
Top Bottom