Lazima tukubaliane Mungu aliwaumba kusudi, ila maana yao ni kuzaa tu tunacho kifanya ni kucimplicate

heartbeats

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
5,752
8,689
Wakuu

Nisiwafiche,kama huna nia ya kuacha chapa/au mtoto katika dunia hii basi ni marufuku kujihusisha na mwanamke, hawa viumbe wameumbwa kwa ajili ya kuzaa tu na sio kuishi nao,na ndo maana mitume wote ambao hawakua na nia ya kuacha mtoto hawakujihusisha na mwanamke hata nukta,

So moja kama unajijujua wewe boy huna uwezo wa kuzalisha kabisa achana na suala la mwanamke achana nalo kabisa anza kuwa muinjilist wahubirie watu habari njema.


Mwanamke sio kiumbe kilichotakiwa dunia hii ila wamekuja ili kuongeza idadi ya wanaume tu, si lazima uishi nae atakutesa tuu hata uwe smart vipi


Bro, lengo la kuwa na mwanamke katika dunia hi ni akuzalie tu basi don't wait for another offer bro utaumia i swear, ushapata mimba yako hakikisha upo commited na wanao wajao acha ku pay attention nae acha kabisa nakwambia acha, waangalie watoto wako


Sijui ndoa sijui nini shit it out bro,ushapata watoto wako mjali kwa kiwango chako,mwabudu muumba wako mshukuru na sio uanze kumsujudu mkeo https://jamii.app/JFUserGuide yo bro usifanye ivo,umemkanya mara moja ya pili shit it out damnn!!


eti nyege inakufanya umpigie magoti, i did it yet when i was young,ila unaweza kuwa ngangari,


Bro wanawake ni mtego ni kiungo cha miili yetu kwanini uzembe kwa kiungo cha miili yetu?,simple no 50 50 that is fuckin shit bro, mwanamke hana interest nawe piga chini hakuna cha ushauri(kama kuna kiungo cha mwili wako kinakukoseshe kiondoe na wanawake wakiwemo bro)


Love yo mother coz she is only woman whom made your presence in this world,
Embu acha kuona mwanamke kama malaika bro nakwambia hujawai ona malaika wewe kristo nakuapia huwezi fungua mdomo wako na kumfananishe mwanamke na malaika(eti malaika wangu shame on you bro)

Jifunze kuviangalia viungo vyako na kuvionya acha kuviabudu$akiwemo mwanamke)

Ishi nae kwa akili, akiku blow jua akili yako haipo makini kuishi nao achana naizo vitu tafuta watoto wako make e'm intelligent

Be wise hayo ni maneno yangu ya 2019

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanafikiria ku solve complex global problems wewe unaona kuzaa ni privilege, kuzaa siyo ishu hata sokwe na popo wanazaa pia.
we replace each other,unapozaa au kuzalisha sio tu kujivunia bali unafanya muendelezo wako miaka mingine ijayo.somebody whom carry your biggest % of your characters and can represent you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke akiona mimi ndo nimeanza kumuapproach ajue kuna asilimia kubwa za kumtafuna na kumtupilia mbali!!,nataka mwanamke ambae atakuwa interest na mimi alizie yeye mwenyewe.. nawapenda sana wanawake ila siwaamini!!! Hili la kutowaamini ndo huwa linawaangusha Sana!!
Mwanamke anaejitambua ni muhimu ktk maisha ya mwanaume,hivi viumbe vikijua nafasi yao havita juta.
 
Mwanamke akiona mimi ndo nimeanza kumuapproach ajue kuna asilimia kubwa za kumtafuna na kumtupilia mbali!!,nataka mwanamke ambae atakuwa interest na mimi alizie yeye mwenyewe.. nawapenda sana wanawake ila siwaamini!!! Hili la kutowaamini ndo huwa linawaangusha Sana!!
Mwanamke anaejitambua ni muhimu ktk maisha ya mwanaume,hivi viumbe vikijua nafasi yao havita juta.
Nakupata fresh

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom