Recent content by Naimann Kavumo

  1. Naimann Kavumo

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyepigwa Risasi ampa RPC Arusha wakati Mgumu...

    nimeipenda sana hii .......Agizo la Pinda litekelezwe
  2. Naimann Kavumo

    JamiiForums Tanzania Page ya NECTA facebook

    Wahuni tu hao
  3. Naimann Kavumo

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Elimu ya Shule za Msingi itakuwa ni miaka 10 badala ya 7 ya sasa

    Hii ni shinikizo wala sio akili za watanzania .....tunapelekwa pelekwa na mataifa yalioendelea kwa kuw tunapenda misaada yao ... God bless us
  4. Naimann Kavumo

    JamiiForums Tanzania Ni heshima na utaratibu kwa mchumba wa kiongozi kufanya hivi?

    Tungeweza kufanya comparison za mishahara ya viongozi mbalimbali hasa wastaafu ambao wanalipwa 80% ya kiongozi aliyeko madarakani mf waziri mkuu wastaafu,marais nk .. Kuna ulazima gani wa wao kulipw kila mwezi na sio kupewa viinua mgongo mara 1baada ya kustaafu ...maana ulipwaji wao...
  5. Naimann Kavumo

  6. Naimann Kavumo

    JamiiForums Tanzania Maisha ni kutegemeana ........

    Maisha ni kitu cha ajabu sana, wale unaowadhania kuwa wema ndo hatari, ona km hii.... 1.Daktari anakuombea uumwe. 2. Wakili anakuombea upate kesi. 3. Mtengeneza majeneza anakuombea ufe. 4.Polisi anakuombea uwe mhalifu. cha ajabu na kushangaza Mwizi peke yake ndo anakuombea ufanikiwe......!!!!
  7. Naimann Kavumo

    JamiiForums Tanzania Mulugo na professa wa chemistry!!

    Maisha ni kitu cha ajabu sana, wale unaowadhania kuwa wema ndo hatari, ona km hii.... 1.Daktari anakuombea uumwe. 2. Wakili anakuombea upate kesi. 3. Mtengeneza majeneza anakuombea ufe. 4.Polisi anakuombea uwe mhalifu. cha ajabu na kushangaza Mwizi peke yake ndo anakuombea ufanikiwe......!!!!
  8. Naimann Kavumo

    JamiiForums Tanzania Nini asili ya huu mtazamo katika jamii?

    Duh ......sio wote waliosoma philosophy kw undani mana ata concept cpat ulichopost kwny hii threat
  9. Naimann Kavumo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA washindwa kulipa kodi ya nyumba, wafukuzwa ofisini!

    suala la lushindwa kulipa kodi na ruzuku wanayopata ww vinakuusu nn ....fanya yako acha na chadema
  10. Naimann Kavumo

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mlipuko Arusha linganisha matukio haya, je yanawiana?

    Matukio yenye uwazi na yanaisiyohitaji ushahidi km haya yanaachwa tu ila ya hutuhumu na kutumia nguvu hata isiyohitajika mf ile ya kumkamata Lema ndo serikali yetu inaweza
  11. Naimann Kavumo

    JamiiForums Tanzania Mlipuko Arusha: Watu 8 wakamatwa, wamo raia wanne wa Saudi Arabia

    Acha uchochezi bado mambo yako polisi sasa sjui ayo yako kuwa ni waislam umeyatoa wap
Back
Top Bottom