Recent content by Nailaswrty

  1. Nailaswrty

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya ofisini

    Naitwa NAILA Naishi KIBAHA. Nina umri wa miaka 19 elimu yangu ya darasa la 07 natafuta kazi yoyote ofisini.
  2. Nailaswrty

    JamiiForums Tanzania Msaada wa matatizo haya ya kiafya ya mwanangu

    Mwanangu ana miezi miwili. Lakini kuna muda anatetemeka miguu kama baridi na kunakuwa hamna baridi pia kuna wakati anageuza macho yake kiini hakionekani na kama anarembua hadi anaogopesha! Je shida ni nini? Na kama kuna shida tiba yake ni nini? Au ni kawaida kwa watoto?
  3. Nailaswrty

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa miezi miwilini mweupe sana lakini masikio yake meusi naombeni ufafanuzi

    Sasa mbn mimi na babake ni weupe
  4. Nailaswrty

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa miezi miwilini mweupe sana lakini masikio yake meusi naombeni ufafanuzi

    Jamani mimi ni yule yule nailaswry kila nachokiona kwa mwanangu nilazima niwaambie maana ndo mwanangu wa kwanz hvyo niko makini hadi naogopa. Mwanangu anamiezi miwili ni mweupe sana lakini Masikio yake mwusi Iakuwa nini?. Samahanini kwa kuwasumbua ni vile ndo kifungua...
  5. Nailaswrty

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu tangu nimzae 20/05/2020 haoni

    Asante sana jmn umenipa moyo sana
  6. Nailaswrty

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa miezi miwili miguu yake hainyooki naombeni ushauri

    Mimi ni mama wa mtoto mmoja, Mtoto wangu ana miezi miwili lakini miguu yake hainyooki. Je, hii ni sawa kweli? Maana ndio mwanang wa kwanza sijui kitu.
  7. Nailaswrty

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuelewa mume wangu, nikimkosea anaishia kulia

    Jmn [emoji52]
  8. Nailaswrty

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuelewa mume wangu, nikimkosea anaishia kulia

    Ndyo nampa kila kitu na mapenz pia
  9. Nailaswrty

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuelewa mume wangu, nikimkosea anaishia kulia

    Mimi na mume wangu tuna miezi minne sasa lakini mimi nimekua nikimkosea sana wala hanipigi anaishia kulia tuu na baadaye kuniambia kanisamehe. Juzi amekuta nimechat na mwanaume kimapenzi ameniangalia tu akaanza kulia na kuniambia wala sijamkosea chochote niwe na amani kisha kesho yake anaamka...
Back
Top Bottom