Mtoto wangu tangu nimzae 20/05/2020 haoni

Mtoto wangu tangu nimzae 20/05/2020 haoni

Dada una mcheche kweli, ndo first born wako eeh?

Siku 49 ushaanza wenge? Huyo mtoto bado mdogo sana wa kuanza kumuelekeza sijui midoli, kujipitisha ili akuangalie[emoji16][emoji16][emoji86]

Relax, naamini huyo mtoto anaona
 
Bado mdogo kuweza gundua chochote kinacho jongea au kujigusa.. kama anaangalia sehemu , i mean jicho anaweza kulisogeza upande kama kulia au kushoto huyo anaona, swala la yeye ku respond na movements bado mdogo sana...
Asante sana jmn umenipa moyo sana
 
Back
Top Bottom