Nauliza hivi kwa mfano mume wangu amenitamkia nishakuacha lakini tulikuwa tunatoleana maneno ya hapa na pale nikamtamkia kuwa niache basi na yeye akasema haya nishakuacha basi nenda zako kwenu ! Je Talaka hii itakuwa imesihi na kama imesihi atakuwa ameniacha kwa talaka ngapi hapo ? na ipi suluhu...
msifikiri CHADEMA ipo siku mtaongoza nchi hii ya TANZANIA ni ndoto ya alinacha kufikir jambo ambalo lipo ya uwezo wake, nadhani hawana la kusema WAP[INZANI na ndio maana wanlaani mambo yote yanayofanywa na SRIKALI ya CCM lakini mbona maendeleo yapo au ndio ni wale wale watu wa enzi za MUSSA...
kwanini mnajiumiza kichwa Watanzania CHADEMA sio Chama bali ni kigenge tu cha watu ambao wamejikusanya katika ukoo na ukanda kwa hiyo msipate tabu sana na mkaumisha kichwa, wewe umeona wapi kiongozi ahame chama leo na kesho ahamie chama chengine muda huo huo apewe nafasi ya kugombea URAIS ?
mnafiki sana halafu apewe Urais wa Nchi hii si atahamisha kila kitu na kwenda nacho ulaya hata akitaka kunya atasema apelekwe ulaya hapa hapana choo kitakachomfaa kunya yye wacha tu amalizie hela zake za Umakamu wa pili mwisho wake tarehe 20/03/2016 inshaallah tuombe salama na amani
Dk. KITINE naona ameongea ukweli lakini hawa Wapinzani wahataki kuelewa uhalisia wa mambo hapa nchini mimi napenda kuwaambia siku zote kuwa Maalim hawezi kutawala Nchi hii hata muda wa Sekunde robo kutokana na Hiostoria ya nchi inavyojieleza Mapinduizi yalifanyika kwa upande mmoja tu wa Unguja...
hata nyumba kumi kuongoza hawezi hatuwezi kumpa Nchi fisadi kama nyinyi mlimuona Fisadi kipindi kile na sasa mnaanza kumsafisha ili awe Rais sio Nchi hii ! tunataka Wazalendo wanaoipenda Nchi na sio Mafisadi wanaoivuruga Nchi yetu ya Tanznia !
alichokipanda ndicho atakachokivuna mlimtumia sana katika Kuupinga Muungano katika harakati za kupata katiba mpya na ndie aliyekuwa mstari wa mbele kutukana sasa kama kweli mwenzenu basi nendeni mkamtowe huko aliko uarabu wake ndio iunaomtesa sasa anaona ajidhihirishe lakini ajuwe kuwa Nchi hii...
mimi namuangalia kiongozi mmoja ambaye takriban vipindi vitano anagombea Urais wa Zanzibar ni Maalim Seif Sharif Hamad, huyu sijuwi niseme amekosa bahati kama mwandishi alivyosema au kutokana na mambo yake anayoyafanya katika uongozi wake aliwahi kuwa Waziri wa Elimu, tumesikia mambo mengi...
Msiwe kama Manyumbu wenzenu hivi kuna wasiwasi na Rais wetu kuhusu Lugha nani aliyekwambieni kuwa Hajui Kiingereza isipokuwa hapendi tu kuongea lugha hiyo kwa sababu yupo karibu na wananchi wake wa Tanzania anataka afahamike nini anaongea nao lakini sio ajabu mbona Rais wa China anaongea...
ndio kila nchi ina sheria zake mbona sisi hatujawahi kusikia hata siku kuwa Balozi wa Tanzania ameenda Marekani na kutoa maamuzi ya jambo fulani wao kama nani hata watuingilie mambo yetu ya ndani haiwezekani jambo hilo ila lazima watii sheria za kila nchi kama tunavyo tii sisi Tanzania.
haina maana kwamba wanalazimishwa kushiriki uchaguzi ispokuwa wanatakiwa kufuata taratibu zote za kanuni za uchaguzi kwa mgombea yeyote anayetaka kujitoa lazima afuate taratibu za Tume na sheria wamezitaja hapo kanuni na vifungu sasa kama kweli hawatoshiriki basi wafuate hizo kanuni na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.