Recent content by nahoda22

  1. nahoda22

    JamiiForums Tanzania Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Juzi huko mbeya kuna mama mswahili yaani muafrika kabisaa kamchinja mwanae na kumpika supu na kumla hii dunia ya si ya kuhukumiana sababu ya rangibaso hili ana lile
  2. nahoda22

    JamiiForums Tanzania Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Pascal Mayalla, Umesahau kuwa na mkapa alituuwa kwa bunduki kutumia wanajeshi wake sijui nae ana asili ya kiarabu? Kwanza ulichoandika asilimia kubwa ni uondo mtupu na ndo mana umeweka picha za kuokota okota.
  3. nahoda22

    JamiiForums Tanzania Je, shetani/ibilisi anatoka koo zipi miongoni mwa koo za majini? Wazazi waliomzaa ni akina nani?

    Nilichogundua we jamaa umeandika andika tu ili upate watu wa kubishana nao ila maelekezo ya kukamlika tayari umeshaambiwa ila tu unaleta ubish wa kitoto sana mada haina kichwa wala miguu unataka ulekezwe vipi mbabaa
  4. nahoda22

    JamiiForums Tanzania Je, shetani/ibilisi anatoka koo zipi miongoni mwa koo za majini? Wazazi waliomzaa ni akina nani?

    Jamaa ana kichwa kizito sanaaaaa😂😂😂 inatosha
  5. nahoda22

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

    Mtafute na #Gucci mane mkuu
  6. nahoda22

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais mstaafu Salmini Amour wa Zanzibar?

    Juzi tu nimetoka kuniuliza hili swali Ila mzee kwa sasa haoni na alipataga stress za kuachwa na yule mama salma salmin
  7. nahoda22

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa tatu sasa hataki kuondoka na kila siku ni visa, nifanyaje ili aondoke?

    Itanibidi nihame maana ushaurinwa watu wengi ni kuhama tu , lkn bado kodi haijaisha lkn nitafatisha huu ushairi endapo nikimwambia tena asiponiskiliza Sent using Jamii Forums mobile app
  8. nahoda22

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa tatu sasa hataki kuondoka na kila siku ni visa, nifanyaje ili aondoke?

    #aminikwamba mkuu jamaa yupo hana hata habari ya kujiongeza, labda kujiongeza kununa tu ukinunua raba au kitu kingine chochote Sent using Jamii Forums mobile app
  9. nahoda22

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa tatu sasa hataki kuondoka na kila siku ni visa, nifanyaje ili aondoke?

    Haha kwahiyo nifanye dawa ya moto mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. nahoda22

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa tatu sasa hataki kuondoka na kila siku ni visa, nifanyaje ili aondoke?

    Sawa bro Sent using Jamii Forums mobile app
  11. nahoda22

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa tatu sasa hataki kuondoka na kila siku ni visa, nifanyaje ili aondoke?

    Mkuu niliwahi mpa hela ya kodi aonhezee kidogo tu ila mpk leo nikimuuliza hanipi jibu la kueleweka juubya ile hela ya room nilompa , mimi pia nilipitia hii life ila haizidi miezi 6 nilijitathmin kukaa kwa mtu mpk lini nikaanza kujituma Sent using Jamii Forums mobile app
  12. nahoda22

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa tatu sasa hataki kuondoka na kila siku ni visa, nifanyaje ili aondoke?

    Asante mkuu kwa ushauri , hakuna namna inabidi nikufyeka kweli tu . Sent using Jamii Forums mobile app
  13. nahoda22

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa tatu sasa hataki kuondoka na kila siku ni visa, nifanyaje ili aondoke?

    Haha mimi nimegundua nilifeli mwanzo kabisa kwanini sikumuuliza , lengo la kuja na mda anaokaa so kuwa makini wahi mapema haya mambo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. nahoda22

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa tatu sasa hataki kuondoka na kila siku ni visa, nifanyaje ili aondoke?

    Haha mkuu nadhani ushaionaga hiyo mtu anashika pafyum ya mwenzake utafkiri anapuliza na gesi psssssssssssssssssssssssssss kipafume chenyewe mpk ununue basi umejipanga Sent using Jamii Forums mobile app
  15. nahoda22

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa tatu sasa hataki kuondoka na kila siku ni visa, nifanyaje ili aondoke?

    [emoji4][emoji4][emoji4][emoji16] twins kwanza ni majaaliwa halafu mimi wananitosha kabisa asee kwa hali ya maisha ya sasa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom