Recent content by nagod

  1. nagod

    JamiiForums Tanzania Kujua google account nlizofuta na password zake

    Habari wadau, Kuna account kama tatu hivi nishazitengeneza na kuzifuta ila nilizitumia kwenye baadhi ya websites muhimu kwahiyo kama kuna njia ya kuzipata tena zote naombeni msaada.
  2. nagod

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kukamilisha ndoto yangu ya kwenda kuishi Marekani?

    Sina kaz permanent i'm just a street hustler ni maisha tu yamekua magumu sana
  3. nagod

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kukamilisha ndoto yangu ya kwenda kuishi Marekani?

    Inawezekana kuishi kule bila green card mkuu? Maana sina ndugu wala jamaa yeyote huko
  4. nagod

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kukamilisha ndoto yangu ya kwenda kuishi Marekani?

    Niaje wadau, Kila nikilala naiota USA japo sijui ntawezaje kuishi kule hata nipambane na life la kule. Elimu yangu ni ya kawaida sana, sijafika University japo lugha sio shida sana. Kama kuna mtu kaishi kule au ana idea kama yangu anipe ushauri kama inawezekana kuishi kule au vipi ili njue...
  5. nagod

    JamiiForums Tanzania Kushare netflix

    Nimekupata mkuu
  6. nagod

    JamiiForums Tanzania Kushare netflix

    Kulipia bando na website yenyewe ghalama inakua kubwa sana
  7. nagod

    JamiiForums Tanzania Kushare netflix

    Habari wadau, Natafuta mtu atakae niadd kwenye account ya netflix imekua ngumu kulipia mwenyewe, Natanguliza shukrani
  8. nagod

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa vanilla

    Shukran sana
  9. nagod

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa vanilla

    Habari, Mimi ni mkulima wa vanilla nataka kukua sasa kwa kujenga greenhouse yangu kama m² 30/40. Hivyo nataka kujua ghalama za net kwa ambaye anajua anaweza kunielekeza na sehemu ya kuzipata na Kwa kipimo hicho nahtaji net ngapi jumla.
Back
Top Bottom