Unawezaje kulipia bando ?Habari wadau,
Natafuta mtu atakae niadd kwenye account ya netflix imekua ngumu kulipia mwenyewe,
Natanguliza shukrani
Kwa hiyo unaweza kulipia bando ila huwezi kulipia malipo ya mwezi?Kulipia bando na website yenyewe ghalama inakua kubwa sana