Recent content by nagmaras

  1. nagmaras

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwanini NMB APP haifunguki baada ya kubadilisha simu?
  2. nagmaras

    JamiiForums Tanzania Msada kuhusu tatizo la Nissan Dualis

    Gari sio utajiri Boss
  3. nagmaras

    JamiiForums Tanzania Msada kuhusu tatizo la Nissan Dualis

    Ya 2007
  4. nagmaras

    JamiiForums Tanzania Msada kuhusu tatizo la Nissan Dualis

    Ya 2007
  5. nagmaras

    JamiiForums Tanzania Msada kuhusu tatizo la Nissan Dualis

    Naombeni msaada gari yangu Nissan dualis steering imekuwa ngumu sana, haibadilishi gear ukiendesha mshale unapanda tuu ukishuka mpaka ushike break na pia ABS Inasoma kwenye dignosis.. In short imekuwa nzito sana. Naombeni ushauri ni nini shida.
  6. nagmaras

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Je kuna app tofauti na true caller yenye kurekodi maongezi pia na kujua anaekupigia?
  7. nagmaras

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Mwenye link ya free channel za kibongo
  8. nagmaras

    JamiiForums Tanzania Ni Apps gani za kupakua nzuri, best of the best huwezi kosa kwenye smartphone yako?

    Mkuu unaweza kutuma picha ya hiyo app ya Books maana zinakuja nyingi sana
  9. nagmaras

    JamiiForums Tanzania Ni Apps gani za kupakua nzuri, best of the best huwezi kosa kwenye smartphone yako?

    Karibia app zote nzuri mkuu thank you
  10. nagmaras

    JamiiForums Tanzania Bank gani isiyo na charges katika kutoa pesa ATM

    Hii ni kweli?
  11. nagmaras

    JamiiForums Tanzania Bank gani isiyo na charges katika kutoa pesa ATM

    Makato yao yakoje maana i'm lost huku niliko
  12. nagmaras

    JamiiForums Tanzania Bank gani isiyo na charges katika kutoa pesa ATM

    Wengi wanasema equity iko vizuri maana NMB katika transaction ya 74k wanikata zaidi ya 4000 na hata nilipolipia DSTV wamekata pia na VAT juu
  13. nagmaras

    JamiiForums Tanzania Bank gani isiyo na charges katika kutoa pesa ATM

    Naomba kufahamishwa ni Bank ipi haina makato katika kutoa pesa ATM, na makato madogo katika kuhamisha pesa kwenda Mpesa au Tigo pesa.
  14. nagmaras

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ————————————————————————————————————————————
Back
Top Bottom