Recent content by naggy mgonja

  1. naggy mgonja

    Msaada, nimeingia Ajira Portal inaniambia number ya NIDA ilishatumika

    Ulishawai kuwa na acc tayari kwahiyo ndo maana imeandikwa hivyo
  2. naggy mgonja

    Wanahitajika vijana wa Kike kwa ajili ya mauzo ya mradi Real Estate

    Fursa nzuri sana ila ungeelezea kidg ipate heshima hii post
  3. naggy mgonja

    Njoo Tukusaidie Kujaza Form ya Kuomba VISA na Passport ya kusafiria

    20,000 ni kulipia form. 150,000 kulipia passport basi imeisha. Labda hapo barua ya mtendaji wa serikali ya mtaa .2000🤣 Stationary kama huwezi kutumia simu kuapply online
  4. naggy mgonja

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    NAmi nimechaguliwa ila sijaelewa mbona mchujo mara 3🤣 written online , practical,na oral
  5. naggy mgonja

    Ripoti ya makinikia ya Almasi na biashara ya Tanzanite yawasilishwa. Prof. Mruma, Maswi na Muhongo washutumiwa

    Wabunge wetu wakishirikianaa hivi kwa kutoa hoja kama leo hii bungeni mpaka mda huu....Tanzania tutafika mbali sana!! Hoja ya mabadiriko ya sheria za nishati na madini,zina mshiko sana...ukiangalia mikataba ilikuwa fake,madeni wanayotadiwa kampuni za migodi n.k
  6. naggy mgonja

    Je Jaji Mkuu anaweza kukamatwa na Askari?

    Sio porojo Ni kwamba jibu la swali lako ninaitaji precise question na brief answer kama Mkuu chakaza alvyotoa jibu in brief but with legal procudere in short.....sasa ukiuliza anakamatwa au akamatwi na police still swali lako lipo juju mkuu,sio wote tunaojuwa sheria.
  7. naggy mgonja

    Je Jaji Mkuu anaweza kukamatwa na Askari?

    Jaji mkuu ana immunity pia mkuu,sio kirahis kukamatwa kama raia wa kawaida..ndo maana kuna taasisi ya kushughulikiwa sector ya mtu anaye vacancy law
  8. naggy mgonja

    Je Jaji Mkuu anaweza kukamatwa na Askari?

    Inategemea kaitwa kama nani shahidi au mshtakiwa/mtuhumiwa?
  9. naggy mgonja

    Je Jaji Mkuu anaweza kukamatwa na Askari?

    Kwa kosa gani kuwa precise,kuwa anaweza kukamatwa kwa tuhuma fulani? Maana jaji mkuu ana privilege na immunity......na kukamatwa sio kirahisi ivyoo........toa scenario yako vizuri mkuu
  10. naggy mgonja

    Sakata la IMMMA: Rais wa TLS, Tundu Lissu atoa maazimio ya Baraza la Uongozi. Wapanga kugoma siku mbili

    Ila tatizo nikwamba kutokwenda kazini haisaidii lusolve tataizo,naona kingetendeka ni kukazia mamlaka za upelelezi zifanye kazi yako...maana kugoma sio solution hata mara moja! Sasa wakigoma then inakuwaje? Wangefanya mchango wa kusaidia pia kuweka wanasheria wenzao lile eneo likae vizur kwa...
Back
Top Bottom