Mimi naisi katika kuhesabu majerui, uenda walimuhebu yule kijana aliyekwenda kuokoa maana na yeye alipata dharuba ya kuchapwa na kamba akapelekwa hospitali wakazani alikuwepo kwenye ndege. Kwahiyo bado mmoja. Ila taarifa rasmi ikitoka itaweza kueleza walizidi wametoka wapi
Huu mradi bado mpya kwetu bongo, kinachatakiwa ni kuwapa ushauri wa kuwendesha huu mradi ili uwe bora na sio kulalamika.
Changamoto nizilizokutana nazo katika huu mradi ni;
1. Kuongozana mabasi kama matano ya root moja, ningeshauri wangekuwa wanayapishanisha angalau dakika 3-5 kwa root moja.
2...
Names of eligible applicants whose applications miss birth certicates
sn
indexno
name
remarks
1
e0015.3341.2012
mkandala,shadrack john
no birth cert
2
p0143.0020.1999
msigwa,tumain e
no birth cert
3
p0305.0073.2011
nyalaja,paskazia sokanya
no birth cert
4
p0337.0055.2005
john,elizabeth
no birth...
Binafsi nilitegemea impaka leo majina ya walio pata mkopo 2015/2016 yangekuwa yameshatoka, ili kwa wale waliokosa wazazi/walezi wao wapate muda wa kutafuta ADA na maitaji mengine ya kishule.
Vyuo vingi vinafunguliwa tarehe 02/11/2015, sasa kama mpaka Leo majina Hayajatoka uyu mzazi/mlezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.