Recent content by Naface

  1. N

    'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    Ulichokiandika ni porojo,hakuna serikali duniani ambayo haifuatilii na kuweka utaratibu katika sekta binafsi. Sio vizuri kuihushanisha ikulu na maswala yako uchwara ambayo hayana kichwa wala miguu
  2. N

    CHADEMA Tarime wavurugwa na Mbowe

    rejea nilichokiandika na angalia alichokisema Mh heche then ndio urudi kukoment
  3. N

    CHADEMA Tarime wavurugwa na Mbowe

    Chama cha democrasia na maendeleo wilaya ya Tarime kimeingia katika mgogoro na mwenyekiti wao wa taifa mh Freeman Mbowe.Mgogoro huo umesababishwa na Mbowe kuwapangia wana chadema kumchagua mwenyekiti ambae ni Hawara wa mbowe. Na walipokataa kufanya hivyo mbowe ametishia kufuta madiwani wote wa...
  4. N

    Chama changu CHADEMA, kwa mwendo huu tutachokwa

    Hawana hoja ya ufisadi mpaka sasa kwa sababu mpaka sasa ndio wanafuga mafisadi wabobezi. Hivyo kusema kuanza kuibua scandal za ufisadi kwa wakati huu hawana nafasi,kwa sababu serikali ya Hapakazi tu ni mwendo wa kazi na hakuna mianya ya rushwa
  5. N

    Lowassa anachekesha, hawezi pata attention tena

    Huyu mzee angekupumzika tuu kwa kifupi mpaka sasa hana effect yeyote katika jamii. lowassa amechoka na hana nafadi nyingine tena,kwa kifupi kama anaenda kupiga propaganda ni kazi bure
  6. N

    Waraka: Shule 11 za Serikali Hazitahusika na Utoaji wa Elimu Bure

    Shule tajwa ndio zipo katika miji na utaratibu wake ni mwingine,ikumbukwe kuwa wanatumia mitaala tofauti na shule za kawaida.
  7. N

    Tuliomkataa Lowassa, Makuwadi wa Mabadiliko "Yale" na Waliojipanga Nyuma Kosa Letu Nini?

    Lowassa,hivi kwa akili ya mtu alie enda darasani akafunzwa na kufunzika anawezaje kuamini kuwa Lowassa anaweza kuwa sehemu ya mabadiliko? Naamini CCM walimjua Lowassa kuliko yyote na kubadilishia gia angani kulikuwa ni kukurupuka. Mabadiliko ya kweli yanaletwa na Ccm na watanzania wote kwa...
  8. N

    Tamko: CHADEMA yalaani kukamatwa kwa Mbunge wa Ubungo Kubenea

    Naamini Kubenea yupo mikono salama ya jeshi la polisi. Naamini sheria itafuata mkondo wake na kwa namna yeyote ile kama alikosea au aliwekwa ndani kimakosa sheria itasimamia haki na kweli. Naamini tunaweza kuwa tupo kwa ajili ya kunyoosha vidole bila kutathimini katika pande zote mbili. Tusiwe...
  9. N

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Majibu yako umeandika ww as ww ila kwa bbc.com ukiingia ushahidi wa nilichokisema kipo Usitumie uelewa wako kumjibia lowassa na kumbuka tunavrejea video pia
  10. N

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Ila kwann asipumzike jamani naona kama anajiumiza na kujitesa sana
  11. N

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Kama pale ndiyo kajitahidi basi ni.aibu sana kwa taifa. Alitakiwa ajibu zaidi ya pale kwa sababu maisha yake yote amekulia serikalini
  12. N

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Alishindwa nn kujibu sawia wakati majibu ya maswali yale yalikuwa wazi ,na hakuna ambacho aliulizwa kutoka mbinguni?na kwann hakuishauri serikali na chama chake au ndiyo ubinafsi.
  13. N

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    ���������� 1. Ameshindwa kujibu ni namna gani atafanya elimu bure. 2. Swala la ufisadi amesema ni swala gumu sana linahitaji mjadala wake lenyewe 3. Mh miezi michache ulikuwa CCM na uliziamini sera za ccm kama sio kukatwa...
  14. N

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Jana wa mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe,alituahidi kufanyika mkutano wa mgombea wa chadema Edward Lowasa. Wananchi wameamka asubuhi na kukutanika katika mitaa na viunga mbali mbali vya mji wa tunduma ila hakuna mkutano ulio fanyika au hata kiongozi mkubwa wa chafema kuja kuwaambiwa...
  15. N

    Yaliyojiri Tunduma: Mikutano ya Kampeni ya Mgombea Urais, Edward Lowassa - Oktoba 17, 2015

    Mbowe alikosea kututukana wana tunduruma ,pia ukawa walitukosea kwa kutuona ha5una akili kwa kutuambia vifaa ni vibovu wakati mic hizo hizo na spika hizo hizo ndizo alizokuwa anatumia mbowe kuongea na wananchi,hii maanake n nn?anatufanya wanatanzania na wanatunduma hatujui na anatufanya watoto...
Back
Top Bottom