Chama changu CHADEMA, kwa mwendo huu tutachokwa

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,471
Reaction score
1,578
Toka jana nimefutilia mijadala na kauli za Mnyika kuhusu kuhamishwa kwa TAMISEMI na leo tena kuibua inshu ya ESCROW.

Pia nimeendelea kuona matamko yanayofuatana tu kutoka kwa Tumaini Makene.Chama changu CHADEMA, staili tunayoitumia saiv tutachokwa sana mapema,tuache siasa za matukio tufuate siasa za hoja. Lipumba naye leo katupiga dongo, saiv tumekazania mambo ya Makonda...hayatatusaidia hayo, tunaomba tuendelee sera zetu za kuibua ufisadi.

Nashukuru Mnyika amesema ataibua hoja ya Escrow,ni vizuri sana ila naomba pia na Richmond irudishwe, Kubenea mpambanaji wangu naomba upeleke hoja binafsi kuhusu Richmond kamanda ili wahusika wawajibishwe..

Asanteni..
 
Sera/ ajenda ya ufisadi haipo tena CDM,Sumaye ndie Meneja Kampeni na Lowasa raisi ha ha ha:hand::hand:
 
Binafsi nilishawachoka kitambo sana!
mko kama debe la vanga
 
Nani alikwambia sera za chademe ndio hizo. Tatizo hamsomi, Issue ya Makonda ina mashiko katika ishu ya nguvu ya umma. nani anatakiwa kuwa na mamlaka zaidi, makonda au Kuubeu. NGUVU YA UMMA.
 
Toka jana nimefutilia mijadala na kauli za Mnyika kuhusu kuhamishwa kwa TAMISEMI na leo tena kuibua inshu ya ESCROW.

Pia nimeendelea kuona matamko yanayofuatana tu kutoka kwa Tumaini Makene.Chama changu CHADEMA, staili tunayoitumia saiv tutachokwa sana mapema,tuache siasa za matukio tufuate siasa za hoja. Lipumba naye leo katupiga dongo, saiv tumekazania mambo ya Makonda...hayatatusaidia hayo, tunaomba tuendelee sera zetu za kuibua ufisadi.

Nashukuru Mnyika amesema ataibua hoja ya Escrow,ni vizuri sana ila naomba pia na Richmond irudishwe, Kubenea mpambanaji wangu naomba upeleke hoja binafsi kuhusu Richmond kamanda ili wahusika wawajibishwe..

Asanteni..

Ungejitafakari wewe kwanza jinsi ulivyochokwa na mmeo kabla ya kuwaza ya CDM
 
Toka jana nimefutilia mijadala na kauli za Mnyika kuhusu kuhamishwa kwa TAMISEMI na leo tena kuibua inshu ya ESCROW.

Pia nimeendelea kuona matamko yanayofuatana tu kutoka kwa Tumaini Makene.Chama changu CHADEMA, staili tunayoitumia saiv tutachokwa sana mapema,tuache siasa za matukio tufuate siasa za hoja. Lipumba naye leo katupiga dongo, saiv tumekazania mambo ya Makonda...hayatatusaidia hayo, tunaomba tuendelee sera zetu za kuibua ufisadi.

Nashukuru Mnyika amesema ataibua hoja ya Escrow,ni vizuri sana ila naomba pia na Richmond irudishwe, Kubenea mpambanaji wangu naomba upeleke hoja binafsi kuhusu Richmond kamanda ili wahusika wawajibishwe..

Asanteni..
Huna akili Huyo Kubenea unamshauri apeleke hoja binafsi ya Richmond si ndio amesababisha matamko haya unayoyalalamikia? Kwanza wewe umejiunga CDM mwaka gani na card no yako ni ngapi!
 
Toka jana nimefutilia mijadala na kauli za Mnyika kuhusu kuhamishwa kwa TAMISEMI na leo tena kuibua inshu ya ESCROW.

Pia nimeendelea kuona matamko yanayofuatana tu kutoka kwa Tumaini Makene.Chama changu CHADEMA, staili tunayoitumia saiv tutachokwa sana mapema,tuache siasa za matukio tufuate siasa za hoja. Lipumba naye leo katupiga dongo, saiv tumekazania mambo ya Makonda...hayatatusaidia hayo, tunaomba tuendelee sera zetu za kuibua ufisadi.

Nashukuru Mnyika amesema ataibua hoja ya Escrow,ni vizuri sana ila naomba pia na Richmond irudishwe, Kubenea mpambanaji wangu naomba upeleke hoja binafsi kuhusu Richmond kamanda ili wahusika wawajibishwe..

Asanteni..
We Gamba tangu lin ukawa CDM?
 
Wapiga dili wa chaggadema bado wana tamaa na pension yake ya uwaziri mkuu wanatka kumkamua mpka senti ya mwisho ..bravo mbowe ...the real political entepreneur
 
Hawana hoja ya ufisadi mpaka sasa kwa sababu mpaka sasa ndio wanafuga mafisadi wabobezi.
Hivyo kusema kuanza kuibua scandal za ufisadi kwa wakati huu hawana nafasi,kwa sababu serikali ya Hapakazi tu ni mwendo wa kazi na hakuna mianya ya rushwa
 
Kilichobaki sasa hivi pale chadema ni kumvizia kiongozi yeyote wa serikali na kuanzisha ugomvi halafu kesi inafunguliwa mahakamani wanaanza kutoa matamko. Wamesahau waliowachagua wanataka maji , barabara, madawa , Umeme n.k
 
Back
Top Bottom