Recent content by nadnan sab

  1. nadnan sab

    JamiiForums Tanzania Mtanie wa juu yako

    Kidevu kama kufuli ya jela
  2. nadnan sab

    JamiiForums Tanzania Mtanie wa juu yako

    Pua kama kisigino cha yonda....
  3. nadnan sab

    JamiiForums Tanzania Mtanie wa juu yako

    Mashavu Kama mimba ya panya....
  4. nadnan sab

    JamiiForums Tanzania Nyie wanaume mna maneno mazuri kweli

    Mmmmmhh hapa Kazi ipo
  5. nadnan sab

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wanawake/Mabinti

    Kazi kweli
  6. nadnan sab

    JamiiForums Tanzania Umeachwa na mtu unaempenda? Hii inakuhusu

    Ujumbe umefika....
  7. nadnan sab

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu hauna malengo ya kuja kumuoa basi achana nae

    Apo umegusa ndipo
  8. nadnan sab

    JamiiForums Tanzania Stupid question, stupid answer

    Hahahaaaa Balaaa kweli
  9. nadnan sab

    JamiiForums Tanzania SMS hizi! Ungefanyaje?

    Kunguru
  10. nadnan sab

    JamiiForums Tanzania Nawatakieni Eid Mubarak. eid yenye furaha na faraja.eid

    Taqabalallah min'na wamin kum in shaa Allah..!!!
  11. nadnan sab

    JamiiForums Tanzania Msaada plz...!!!

    Khabari za saa hizi wanajamvi! Kwanza shukran zangu za dhati kwa huduma na Ushauri tunazopata humu ndani kwa Kweli ni zenye faida chungu nzima kwa jamiii Naomba Msaada plz niko na siku 3 kufikia leo naumwa na m*p*mbu ajabu na yamefura Kiasi kama kipira cha tenis nikitembea nahisi kuwa mazito...
  12. nadnan sab

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Neema ni nyingi tulizonazo hata tukataka kuzihisabu hatuwezi kuzimaliza
  13. nadnan sab

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Arudi asirudi Watu wataendelea mpaka alioanzisha aifute hii thread.
  14. nadnan sab

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ipo? Hata mimi pia naishangaa
Back
Top Bottom