Recent content by Nadidi

  1. Nadidi

    Mkurugenzi wa TPA aliyesimamishwa kazi, Kakoko ashikiliwa kwa mahojiano na TAKUKURU

    Hivi Kigogo kasema Ukweli? Kuwa mzee mzima kakutwa na $1,625,800 chumbani kwake?
  2. Nadidi

    Demu wangu ana 'mashine kubwa' nifanyeje?

    Sh. 10 sihitaji! Wanawake wengi waliofundwa wanajua jinsi ya kutunza.....
  3. Nadidi

    Nguvu ya Mitandao: Askari walioonekana kwenye Video wakimchapa vibao dereva, watiwa Mbaroni

    Kuna askari kaniambia hiyo ni geresha tuu, hakuna atakayechukuliwa hatua hapo. Na kweli ndiyo maana hawa askari wamezoea tabia hizi maana hata baba yako huwa anawakingia kifua😀 akinitukana Mimi vile nae lazima haoge matusi makubwa makubwa siogopagi na sijawahi kumuogopa askari anibambikie...
  4. Nadidi

    Maaskofu watatu KKKT(Malasusa, Mbedule na Massangwa) watengwa

    Bakwata yetu siye ipo chini ya chama tawala! Waislamu tunajua, mpaka Dodoma walipewa ukumbi na sisiemu kufanyia mkutano! Shekhe mkuu kila mkutano unaofanyika Ikulu hakosekani! Kuna nini hapo tena? Hata kwenye vikao vya sisiem hauwakosi! Sijui wamekuwa wanasiasa siku hizi? So lazima mashekhe...
  5. Nadidi

    Maaskofu watatu KKKT(Malasusa, Mbedule na Massangwa) watengwa

    Kwani waliloliandika sio neno la Mungu??? Neno La mungu likoje? Mungu anaruhusu kuuwa watu? Watu wanatekwa, wanauwawa, wanabambikiwa case na kunyanyaswa katika nchi soo wakae kimya! Kama mlimnunua Pendo na yule wetu Wa waislam, hao hawanunuliki
  6. Nadidi

    Askofu Pengo: Sikufahamu kuhusu waraka wa Kwaresma wa Baraza la Maaskofu Katoliki. Awaasa wasichanganye dini na siasa

    Lazima utete maana unapataga mgao kama ule Wa ESCROW! Upo kimaslahi kiti ulichokalia umekalia kimakosa. Watu wanapigwa, wanauwawa kila siku, wanapotea wanatekwa na kuachiwa wengine! Wewe unajali Tumbo lako!
  7. Nadidi

    TANZIA: Diwani wa CHADEMA Kata ya Namwawala mkoani Morogoro auawa kwa kukatwakatwa mapanga

    Tanzania mpiya hiyo innsha'Allah wauaji mungu atawalipia sawa na matendo yenu.
  8. Nadidi

    Benki ya Dunia yaingilia kati bomoabomoa isiyofuata Sheria kati ya Ubungo na Kimara

    Kisa baba yako hakupewa kura, Kimara!!! Mbona Mwanza aliwalinda kiaina!! Roho mbaya tuu imemjaa
  9. Nadidi

    DODOMA: Mahakama yamuachia huru Kubenea, Polisi wamdaka tena

    Ndiyo maana wakipataga matatizo huwa siwaonei huruma, hawa sio watu!
  10. Nadidi

    Mbunge Joseph Mbilinyi afikishwa Mahakamani kwa Uchochezi, anyimwa dhamana

    najuta kumpa kura yangu bora ningempa mbwa ananilinda usiku
  11. Nadidi

    Mbunge Joseph Mbilinyi afikishwa Mahakamani kwa Uchochezi, anyimwa dhamana

    Hongera Trump, haukukosea mojawapo ni TANZANIA
Back
Top Bottom