Mkurugenzi wa TPA aliyesimamishwa kazi, Kakoko ashikiliwa kwa mahojiano na TAKUKURU

Huyo jamaa inaonekana alikuwa mpigaji, kajificha kwenye kichaka cha kuaminiwa na Magufuli. TAKUKURU endeleni kuusaka uhalifu wote na mtandao huo uliokuwa TPA
Hivi idara nyeti kama hizi huwa zinakosa watu wa usalama wa taifa ili kufuatilia nyendo za wapiga dili kama hawa?
 
Kazi inaendelea au ni maigizo yale yale tu.
Swali zuri sana ili, na mama anapaswa akumbuke akiendeleza maigizo na watoto hawana madarasa, wataendelea kukaa chini, kwa kua pesa ndio hizo zinaliwa na wajanja.
Rais Samia tunakuomba rudisha kodi zetu zote kutoka kwa wapambe wa Mtupoli., zijenge nchi yetu iliosinyaa kiuchumi hii miaka mitano ya Magufuli.
 
Tunaomba ukaguzi wa Miradi yote ya Chato
Sio wazo zuri.tunataka pesa kidogo iachiwe kwa kutoa ajira mpya.
Ninakereka wanaotoka vyuo vikuu wanalandalanda na bahasha zao halafu wazee wenye zaidi ya miaka 40 kazini wanaongezewa mikataba.
Si washajijenga na kama ni uzoefu aitwe kama kibarua au consultant sio kuongezewa mkataba na kuacha vijana mitaani wakiishi na dream za kazi.
 
Hivi Kigogo kasema Ukweli? Kuwa mzee mzima kakutwa na $1,625,800 chumbani kwake?
 
Hivi idara nyeti kama hizi huwa zinakosa watu wa usalama wa taifa ili kufuatilia nyendo za wapiga dili kama hawa?
TISS wapo vizuri saana(hasa kuanzia mwaka 1961 mpaka 2016) na wanafanya kazi yao vizuri saana ila kinachowawia ugumu na kuonekana hawafanyi kazi ni katiba imewabana

so TISS ni kama washauri tu hawana nguvu ya kufanya maamuzi

bt tushukuru JPM kuweka wanajeshi kwenye baadhi ya taasisi hii itasaidia wao kwajibika kwa CDF (mabeyo kaonesha kusimama imara)
 
Back
Top Bottom