Recent content by nackyvona

  1. N

    Malticulation test msaada please!!!!!

    HABARI ZA LEO WANA JAMVI, Ni mara yangu ya kwanza kuja katika jukwaa hili la elimu hapa JF kuomba msaada, mm nimemaliza kidato cha nne mwaka 1996, nikabahatika kusoma IIT mambo ya Computer nikapata Diploma pale, sijasoma kwa muda sasa, tatizo langu ni kwamba ninataka kujiunga na Chuo ili niweze...
  2. N

    Nombeni mnishauri nifanyeje

    Sijakuelewa, mm nilikuwa naomba ushauri ili niweze kuweza kuishi tena, maana nilishakata tamaa, sasa wewe unasema unatafuta mke??????
  3. N

    Nombeni mnishauri nifanyeje

    Kwanza mpk sasa siamini macho yangu kama kitu kama hicho kingeweza kunitokea kwenye maisha yangu, kwa sababu nilikuwa nina imani kuwa wazazi wangu wapo watanisupport , na ndiyo maana niliweza kuondoka kwa mume nikaanza moja kwa kujua wapo wa kunisaidia. Ila jumamosi naenda kuongea na Baba anipe...
  4. N

    Nombeni mnishauri nifanyeje

    Ni kweli ameanza kupoteza nguvu, ndiyo maana dada mtoto wa mama mkubwa kaniambia nimuachie, iko siku atanitafuta.naona uzee unamsumbua, Anyway i don't know!!!
  5. N

    Nombeni mnishauri nifanyeje

    Dada Ameline kitabu hichi biblia kitabu cha Maombolezo 3:31-33, nitakipata wapi?Maana kwenye shida ya kumtafuta Mungu haijalishi dini, kinachotakiwa ni amani ndani ya moyo. Pia Yasintha nashukuru kwa ushauri wako, Ila kusema kweli nampenda sana Mama yangu hata yeye anajua hilo, ndiyo maana...
  6. N

    Nombeni mnishauri nifanyeje

    Inaonyesa hujaelewa ndugu yangu, mama yangu hasemi ninawatesa watoto wa ndugu yangu, ila mimi nkienda Home wakati wa weekend kusalimia unaona mama anavyowatenga wanangu mm ,mmpk watoto wanasema kuwa bibi sisi hatupendi. Nina maana gani tukifika pale anawashangilia zaidi wale wa marehemu na...
  7. N

    Nombeni mnishauri nifanyeje

    Asante , asante sana kwa kunitia moyo, nimeshapanga kwenda kumuona baba siku ya jumamosi, pale home, nitamwambia kila kitu ili anishauri, Baba yangu ni mpole sana na anajua ni jinsi gani nilivyoumia baada ya kupata matatizo na mume wangu, alinisapport kwa kila hali.
  8. N

    Nombeni mnishauri nifanyeje

    Ndugu yangu, watoto ni kwa mama, siku zote, baba wa watoto hao wapo kwa kweli wao wananisaidia kulipia ada, ila mambo mengine nafanya mm. na ndugu yangu yeye anauwezo mkubwa tu, so yeye haitaji kitu kutoka kwa hao mashemeji.Na baba wa hao watoto wameridhia kukaa nasi kwa sababu ya mama zao kufa.
  9. N

    Nombeni mnishauri nifanyeje

    Ingekuwa ni hivyo kaka ningekuwa sina shida, Tatizo ni kwamba nimejenga zote kwenye kiwanja kimoja. sasa zingekuwa zinabebeka ningebeba, lakini siwezi, niombeeni ili alegeze moyo.
  10. N

    Nombeni mnishauri nifanyeje

    Ni kweli kabisa mama hajibishwi, unaweza pata laana, lakini linalonichanganya mm ni kuwa tuko wawili, na ndugu yangu ana mali kishenzi kiasi mm mwenyewe huwa ananisaidia pindi ninapoishiwa. sasa mama tatizo lake ni nn? kama maisha hana mabaya , ni mtu wa East Africa, kastaafu kapata milioni 130...
  11. N

    Nombeni mnishauri nifanyeje

    Baba hajajua kwa sasa, ndiyo nataka nikamwelezee nisikie atasemaje, lakini baba yngu ananipenda sana , najua akijua hilo panaweza pakachimbika pale home, na mm sitaki kuwa chanzo cha ugomvi wao.
  12. N

    Nombeni mnishauri nifanyeje

    Umenifanya nimetokwa na machozi, nilifikiri ni mm mwenyewe mwenye matatizo, Nakuombea nawe uishi vizuri na wanao. Mungu atatusaidia. maana mkasa wako ni kama wangu.
  13. N

    Nombeni mnishauri nifanyeje

    kubomoa nyumba sitabomoa, wala sitashindana naye, nataka nikaongee naye anipe muda, ili nimalize chuo, maana nasoma kwa sasa nipo mwaka wa pili, nikimaliza nijenge hata vyumba viwili kwingine, nimuachie zile nyumba ale kodi yeye.kwa kuwa Mungu anajua lile ni jasho langu haliwezi potea. m
  14. N

    Nombeni mnishauri nifanyeje

    NI mama yangu kabisaaaaaa, na ni msomi mzuri na ana nyumba Tano hapa Dar, na kapangisha zote, Lakini sijui ni nn kwa kweli, niombeeni, maana nimeanza kufunga na kusali ili Mungu anionyeshe ni nn kipo ndani yake.
  15. N

    Nombeni mnishauri nifanyeje

    Asante sanaaaaaaaaa , Hata mm nimewaza hilo kuwa haiwezekani akawa na roho hiyo, ni lazima kuna roho ya kishetani ndani yake, nashukuru sana kwa ushauri. Nimepata faraja.
Back
Top Bottom