Recent content by NACKO

  1. NACKO

    JamiiForums Tanzania Mtanzania anasema alipata $35,000 kuingia jeshi la Russia na analipwa $3,000 kila mwezi. Kwa gharama gani lakini?

    ninafahamu eneo hapa Tanzania, ambalo unaweza kumkodi HITMAN kwa shilling elfu hamsini tu za kitanzania,...na kazi yako ikafanyika kwa weredi,...
  2. NACKO

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Maafisa wa Manispaa ya Songea Mjini wanaonea Vijana wanaondesha Bajaji, wanawatoza faini Sh. Laki 5

    bado hamjapigwa vizur,...mpaka uchawa uwatoke
  3. NACKO

    JamiiForums Tanzania Umepitia Epstein files?Nini kilikuacha mdomo wazi ona hii

    inaweza kuwa ni kweli, maana wengine wamejiuzuru baada hii kashfa,....
  4. NACKO

    JamiiForums Tanzania Just imagine kama Mwafwere yuko mahali salama anasoma haya yanaendelea mitandaoni kumhusu

    hii tunapangwa tu,...huhitajiki kuwa genius kulijua hili ....
  5. NACKO

    JamiiForums Tanzania Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

    majambazi wengi sana ni waathirika,...hili nimeliongeansana hapa jf
  6. NACKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

    kama uko na watoto,..asichangamane nao...atembeee
  7. NACKO

    JamiiForums Tanzania Ni bank gani tanzania mtu akifa basi pesa zake zitabakia kwenye account kama zilivyo?

    huku kwetu, kuna Don mmoja alifariki,....kwenda bank, familia zake zote (wake watatu na watoto),..wakakuta kuna jumla ya million 7 tu kwenye accounts zake zote,....na hawajui mambo ya biashara zake wala miamala,... familia zimeshapoteana vibaya sana mpaka sasa
  8. NACKO

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

    huyo jamaa anatetea mashoga mpaka jasho huwa linamtoka,....nilimkazia siku moja kumpinga kuhusu ushoga, nikafuatwa pm na mods kuonywa,...
  9. NACKO

    JamiiForums Tanzania Tusipochukua maamuzi magumu Taifa letu la Tanganyika litapotea kabisa

    kwa uwezo mkubwa wa akili alionao mwandishi, mpuuzi kama huyu hamsumbui,....
  10. NACKO

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

    kwamba hujui mpaka leo,...
  11. NACKO

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

    kuna papayi moja lilifikishwa mahakamani kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile, wakati wa kujitetea , likaropika,...SAMAHANI HAKIMU, MIMI SIKUJUA KUWA MKND NI MALI YA SERIKALI NA SIO MIMI,....😭😭😭 kama sio polisi angezikwa,...
  12. NACKO

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje mtu akikuhisi wewe ni jinsia tofauti na ulivyo?

    huyu tumechelewa MKUU....hatuna budi kulia msiba mapema,..😭😭😭
  13. NACKO

    JamiiForums Tanzania Hii mikwaruzano ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam?

    divide and rule theory inatekelezwa na viongozi wa SERIKALI wenyewe.... TANZANIA ina matahira machache sana yenye fikra za udini na ukabila,.... tatizo ni viongozi wa SERIKALI wenyewe wanatafuta makundi ya kuwapigia makofi hata kwenye madudu wanayoyafanya,....
  14. NACKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi makalio makubwa kama haya, huwa yana faida gani kitandani?

    kwa mambo kama haya, acha tu tuvae suruali zilizopauka😂😂😂🙌
  15. NACKO

    JamiiForums Tanzania Kuichukia Taifa Stars kwakuwa tu unamchukia Rais Samia na CCM si tu ni Ushamba bali pia ni Upumbavu uliovuka mipaka

    comment bora kabisa ya mwezi,....🙏🙏🙏👏
Back
Top Bottom