Recent content by nacho1

  1. nacho1

    Muonekano wangu unanitesa mahusiano yangu hayadumu

    Ushauri Acha ufala, haya ya kujiona mzuri hadi kujionea aibu ndio yanafanya wakukimbie. Stop feminine character
  2. nacho1

    Weekend imeanza sasa, Nakumbusha kutumia kinga

    Kupima ukimwi na kunyanduana siku hiyo hiyo ni hatari pia. Condom ndio sahihi. Kwa elimu kidogo niliyopata kupitia kugoogle kila siku kwa miezi sita baada ya kuhofia nimeambukizwa hiv nimegundua hivyo. Ukimwi kwa vipimo vyetu tulivyo zoea inachukua miezi kadhaa hasa mitatu toka mtu anapopata...
  3. nacho1

    Kama UKIMWI wa 2005 kurudi nyuma ungekuepo sasa, hali ingekua mbaya sana

    Watu wanaandika vitu wasivyokua na uhakika navyo. Kuna taarifa za ukweli na za uongo hapa mtu anayehitaji taarifa hapa ajitahidi kuzichuja sana. Hamna ukimwi wa zamani na waleo ni sawa na kusema kuna malaria ya zamani na malaria ya leo. Kilichobadilika ni dawa za kufubaza ukimwi kua za sahivi...
  4. nacho1

    Maji yanayotumika badala ya buffer solution katika kipimo cha HIV SD-bioline ni sahihi?

    Sirudii tena. Kwa hii stress niliyonayo nikitoka hapa bora nikose ladha tu condom muhimu
  5. nacho1

    Maji yanayotumika badala ya buffer solution katika kipimo cha HIV SD-bioline ni sahihi?

    Siku za karibuni nilienda kununua hicho kipimo pharmacy nikapewa hayo maji badala ya buffer solution na nilipohoji kuhusu hilo, muuzaji aliniambia niondoe shaka hayo maji ni sawa na buffer solution. Je, ni Kweli au alitaka hela yangu tu?
  6. nacho1

    Ajali zinaondoshwa kwa kusali kwa kukaa barabarani? Waafrika bhana!

    Wakati Mwingine ajali zinasababishwa na ulimwengu wa kiroho so wameanza kwa kuomba kinga ya kiroho. Na kufanya hivyo haizuii kuchukua hatua nyingine
  7. nacho1

    CRDB Bank kuna nini kuhusu mikopo?

    CRDB kuna tatizo kuhusu mikopo na hawaeleweki wanachojibu pale wanapoulizwa kuhusu hili suala la kusuasua. Imekua benki ya ujanjaunja hawatoi majibu ya uhakika. Watu wengine wanadhani huenda imefilisika haina uwezo wa kuhudumia wateja wao kwa pamoja. Kama ndivyo kwanini wanapokea maombi? CRDB...
Back
Top Bottom