Recent content by nachedeulla

  1. N

    DAR iko overrated, Majority ya watu wanaishi maisha ya ovyo sana

    umesaju pia salaam ya watu DSM.... "Niambie'........
  2. N

    NBC League Kuu ya Tanzania

    huyu ana hoja , mtakuja kumkumbuka.
  3. N

    Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

    Atakuwa hadija self miaga
  4. N

    Aliponiona tu ameanza kulia, maamuzi yana gharama zake!

    Mengine husimuliwa ili tujifunze, si kwa Nia ya kujigamba,uwe na uelewa kidogo!
  5. N

    Stori ya David Masha: Ajali iliyompa ulemavu wa kudumu, kukubali matokeo na kutokata tamaa

    ASANTE Mungu, asante sana David kwa simulizi ya kusisimia hakika tumejifunza mengi, Allah azidi kuwabariki, nimependa jinsi ulivyoiweka story yako ili tujifunze! Binafsi nilianza kumsikia habari yako kipindi umeoa, nikavutiwa mno na wewe! Dah safi sana David!
  6. N

    Asante Ole Sabaya na Cyprian Musiba, bila ninyi kusema ukweli wenu, tusingejua yanakotoka maagizo kutoka juu

    kabisa kaka mimi nina maswali mengine nashukuru unanisaidia majibu,umenigusa mno kaka!
  7. N

    Asante Ole Sabaya na Cyprian Musiba, bila ninyi kusema ukweli wenu, tusingejua yanakotoka maagizo kutoka juu

    tanzania yangu ina watu wenye maarifa najiuliza sana watu ambao tunawatarajia kuwa na maarifa makubwa ni zero kabisa!
  8. N

    Asante Ole Sabaya na Cyprian Musiba, bila ninyi kusema ukweli wenu, tusingejua yanakotoka maagizo kutoka juu

    Akili kubwa mkuu napenda watu wenye maarifa kama yako,maana unatufunza jinsi ya kufikiri tofauti si kimazoea!
  9. N

    Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

    Na alikuwa wapi siku zote leo ndio simba wabaya! kazi ni kupishana pumzika wengine waje!! acha kelele haji! pia tunaakili.
  10. N

    Hivi Zanzibar wana shirika la ndege?

    tena ka tv cha inch 21 utafikiri umebeba cocaine!
  11. N

    Urusi yasitisha safari za ndege kati yake na Tanzania

    Sahihi kaka, tuliopo zanzibar tutaumia zaidi maana tunategemea hao 98%
  12. N

    Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

    Akili ndogo jifunze kufikiri positive au kaa kimya!
Back
Top Bottom