Kweli dhamira ya kumaliza mgogoro kwa upende wa pili hakuna kwani kama wanajadiliana na majadiliano yanaendelea alafu mwingine anajitokeza adharani na kujiapiza kuwa uchaguzi lazima urudiwe, hakuna maana ya manzungungumzo hapo bali ni kiinimacho tu. Kujitoa kwake kwenye mazungumzo ni sahihi kabisa
Ni unafiki kudai Zanzibar hali ni shwari wakati baadhi ya Wanzanzibar wanatembea na mabango ya kuitanganzia dunia kuwa kuna wengine wakuja hati siWazanzibar halisi, hati machotara wale na hati Zanzibar niya waafrika!! Huyo mzee anayasema hayo kuuhadaa umma tu na kulinda mkate wake kwafaida yake...
Tanzania siku zote imekuwa ikijinasibu kufuata utawala wa sheria, hivyo katika hili lazima itii zuio la mahakama, lakini kwa utawala huu nachelea kusema kuwa tusishangae kuona zuio hilo linakanyagwa, huku wasio tafakari hatari ya kitendo hicho wakichekelea
Hivi tukiweka unafiki na uchumia tumbo pembeni kuna mwandishi wa habari hapa TZ aliyebobea katika uandishi wa habari za uchunguzi zaidi ya Kubenea, waandishi wa habari walio wengi wamekuwa wanafiki wanakwepa kuandika habari za kiuchunguzi hasa za ufisadi kwa kuogopa mkono wa dola, lakini...
impact yake ni ndogo kwenye chama kwani hana madaraka yoyote, hivyo ni vigumu kupata forum ya kufanya au kupanga chochote dhidi ya CHEDAMA, vilevile tambua bado tuhumu za usaliti zinamuandama, wanaCUF kindakindaki wamepoteza imani inaye, imtachukua muda kujisafisha na kuaminika tena mbele ya...
well spoken, tuwaulize hao maccm wanajiapiza kuwa lazima washinda katika uchaguzi wa mwaka huu hata kw goli la mkono, watambue Tanzania ni yetu sote na hakuna mwenye hati milki na nchi hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.